Makala ya wazi kwa Rais Samia imfikie popote alipo na kuisoma

Wewe nakusamehe bure kabisa maana akili yako inafahamika vyema.
Wa kusamehewa ni wewe maana hujitambui.

Kuna msemo unasema mtu akiwa mjinga hawezi kujijua kama ni mjinga na haumii bali wanaomzunguka ndio huona ujinga wake na ndio wanaoumia.
 
Wa kusamehewa ni wewe maana hujitambui.

Kuna msemo unasema mtu akiwa mjinga hawezi kujijua kama ni mjinga na haumii bali wanaomzunguka ndio huona ujinga wake na ndio wanaoumia.
Wewe hujitambui hata kidogo
 
Safi sana Lucas Mwamshamba
 
Chawa Kashiba Damu Anabwata Tu Hana Cha Kupoteza Anangoja Teuzi
 
Mwashamba uko vizuri katika kutetea Chama chako lakini,; mama antakiwa asaidiwe kujua hali halisi, kwenye mikutano yetu ya kijani wote tunapiga kelele mitano tena lakini hii mitatu ya kwanza mambo ni mengi ya kufikilisha, deni la Taifa limepaa ukilinganisha na uwiano wa muda na uwezo kulipa mikopo hiyo kwa muda, leo hii wakandalasi za ujenzi wa miundombinu ilikadiliwa kuwa Tilion 11 wakandalasi wamesimama kazi karibu 80 asilimia ya miradi imesimama, hali ngumu bei ya mafua juu maana kodi nyingi zimejazwa hapo hata pa kupumulia hakuna, mafisdi wanatanua bila woga mama anakusanya watu wanameza, kazi ya Urais si rahisi sana na ukishaweka ushoga, undugu , urafiki, upenzi, uewano uzazi, uana, ukanda nk nk watu wanatumia mwanya huo huo, nilisoma na mtoto wa Nyerere sekondari alipanga foreni ya chakula kama sisi alilala kwenye bweni kama sisi tena kwa baadhi ya watu ilikuwa si rahisi kujua huyu ni mtoto wa Rais, hizi mbwembwe zinatoka wapI? unakwenda ziara ya kiserikali na wazazi wako!! ili iweje watanue wakusifie tumezaa mtoto!! unabeba wasanii ziara ya kiserikali mmmh ili iweje wajifunze usanii, wapeleko kivyao waende wakae na wenzao muda wa kutosha wajifunze. ukweli tunampenda Samia lakini vitu vingine mmmmh vinatia ukakasi. amefungua milango na madilisha yote kila kitu hakina kizuizi impact yake tutaiona baadae, inawezekana asiwepo madarakani lakini tutaumia sana.
 
Nitakujibu vizuri nikitulia maana umeorodhesha mambo mengi na mchanganyiko. Ila hongera sana maana inaonyesha umekula chumvi nyingi.maana uliposema umesoma na Mtoto wa Nyerere nikaona kwa hakika umetoka mbali na nchi yetu na unaweza kueleza baadhi ya matukio ya kihistoria kwa Taifa letu pasipo kusoma kitabuni. Asante lakini kwa mawazo yako na mchango wako ambao nitakujibu vyema baadaye.
 
Kuandika kwa ufupi, na ujumbe ufike ulivyokusudiwa, inahitaji akili na uwezo mzuri.
 
Salamu zangu za pole zikufikie popote ulipo kwa maana hapa tumepigwa na kitu kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…