Makalio makubwa yageuka kuwa silaha pekee kwa wasichana wengi siku hizi

Makalio makubwa yageuka kuwa silaha pekee kwa wasichana wengi siku hizi

Makalio yenyewe, mengi siku hizi ni ya Kichina tu. Hayana mvuto wa asili. Yanakuwa yanaonekana yanavutia yakiwa ndani ya nguo, ukiyaona mubashara utatamani ukimbie
 
Poleni na kazi Wasakatonge hivi nani ameliona hili kuanzia mtaani, facebook, whatsaap,instagram&tiktok imekua kama fasheni kila mwanamke kubinua sehemu za nyuma au kucheza cheza kimtego kuonyesha makalio.

N.B Wanadai wengi wapo sokoni kwahiyo ni dau lako tu.
 
ednaminajj-20220825-0001.jpg
 
Poleni na kazi Wasakatonge hivi nani ameliona hili kuanzia mtaani,facebook,whatsaap,instagram&tiktok imekua kama fasheni kila mwanamke kubinua sehemu za nyuma au kucheza cheza kimtego kuonyesha makalio. N.B Wanadai wengi wapo sokoni kwahiyo ni dau lako tu.
It's all bout business wakazi wa Sinza wanaelewa
 
Back
Top Bottom