Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kesho utasikia kateuliwa Balozi.Huyu ni mpuuzi sana, ana siasa mufilisi! Analeta taharuki za kipumbavu sana!

Atapongezwa tu huyo na mabosi wake.Huu mropoko upelekwe viral na ukuzwe uwe mkubwa I'll ahojiwe vizuri.
Ninaposema CCM imebakiwa na manyangarakasha mnielewe, moja lao ni hili.wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari.
Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama vya siasa.
=====
Makalla asema CHADEMA wanakusanya hela za tonetone ili walete Ebola na Mpox na kuweza kuzuia uchaguzi!
View attachment 3279769
Shida washazoea kuwekeana sumu na kupigana magonjwa.Atapongezwa tu huyo na mabosi wake.
Wanaletaje ?wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari.
Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama vya siasa.
=====
Makalla asema CHADEMA wanakusanya hela za tonetone ili walete Ebola na Mpox na kuweza kuzuia uchaguzi!
View attachment 3279769
Mitihaninya CPA ingaliwe vizur, kuna watu wanazipata kirahisi sana halaf kichwani emptyAIBU KUBWA SANA,CPA,GANI HUYU BOGUS KABISA KABISA Sikujua kumbe makalla na vuvuzela kelele tupu akili kisoda Cha bia ccm du kiongozi kama huyu kweli na upumbavu kama huo.eti chadema wanachangisha tone tone walete mpox,na ebola aibu kwa macccm yoooote,kweli No reform No election ni sahihi kabisa ,Sasa uchaguzi wa Nini kwa maccm majinga Kama haya ,fikiri kabla kusema wewe makalla umejishushia heshima kwa jamii nzima
Hii ni siasa 100%, Makala kaanza kupoteana,😂😂😂wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari.
Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama vya siasa.
=====
Makalla asema CHADEMA wanakusanya hela za tonetone ili walete Ebola na Mpox na kuweza kuzuia uchaguzi!
View attachment 3279769
=====
Maoni ya Wadau kutokana kauli ya Makala
===
===
===
====
===
Habari leo
DODOMA – Katibu Mwenezi wa CCM Taifa CPA Amos Makalla amefichua mpango ovu wa chama cha upinzani Chadema wa kukusanya fedha kwa ajili ya kununua virusi vya ebola na mpox akidai wanakusudia kuvisambaze nchini kwa lengo la kuharibu uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwak
View: https://x.com/i/status/1903562804445008218