MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hizi ni tuhuma nzito. Makala apeleke ushahidi wake kwa vyombo vya dola na pia wanaohusika wakamatwe. Ila kama ni kauli za kisiasa basi mwenezi kajichanganya mno. Ni kauli ya hovyo.
Halafu Kuna mtu ananiambia chama kina viongozi tuKatibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Amos Makala ameeleza wasiwasi wake kuwa upinzani, hususan CHADEMA, unahatarisha afya ya Watanzania na wageni kwa kutaka kuingiza virusi vya magonjwa hatari kama Mpox na Ebola lengo likiwa ni kuzuia uchaguz wa Oct 2025 kutofanyika.
Kwa mujibu wa kauli za kiongozi huyo wa CCM, mikusanyiko ya CHADEMA na mahusiano yao na mataifa ya nje yanaweza kuwa chanzo cha kuingizwa kwa virusi hivyo nchini. Kutokana na hilo, sisi wananchi tunawasihi watalii kuwa wanapaswa kuwa waangalifu na kufikiria mara mbili kabla ya kuja Tanzania, kwani uwepo wa magonjwa haya unaweza kuhatarisha afya zao. Ebola ni ugonjwa hatari wenye kiwango kikubwa cha vifo, huku Mpox ukiwa na athari kubwa kwa ngozi na kinga ya mwili, hivyo kuwafanya wasafiri kuwa kwenye hatari zaidi.
Kwa kuwa hali ya usalama wa kiafya nchini inatajwa kuwa mashakani na viongozi wa chama chenye dhamana ya serikali, ni vyema wageni wakachukua tahadhari kwa kusitisha safari zao hadi itakapothibitishwa kuwa Tanzania iko salama dhidi ya magonjwa haya.
Aidha, iwapo madai ya CCM ni ya kweli, basi kuna haja ya hatua za haraka kuchukuliwa kudhibiti ueneaji wa virusi hivi, kwa kufunga mipaka na kuimarisha uchunguzi wa afya kwa wageni wote. Ili kujilinda, watalii wanashauriwa kuchagua maeneo yenye uthibitisho wa usalama wa kiafya badala ya kuhatarisha maisha yao kwa kuingia Tanzania katika kipindi hiki cha taharuki.
Sisi kama wananchi tunamshukuru Makala kwa kuweka hadharani mpango huu wa wapinzani wenye nia ovo kwa nchi yetu.
Mungu Ibariki Tanganyika
Athari za no Reform no Election zimeanza kuonekana.Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Amos Makala ameeleza wasiwasi wake kuwa upinzani, hususan CHADEMA, unahatarisha afya ya Watanzania na wageni kwa kutaka kuingiza virusi vya magonjwa hatari kama Mpox na Ebola lengo likiwa ni kuzuia uchaguz wa Oct 2025 kutofanyika.
Kwa mujibu wa kauli za kiongozi huyo wa CCM, mikusanyiko ya CHADEMA na mahusiano yao na mataifa ya nje yanaweza kuwa chanzo cha kuingizwa kwa virusi hivyo nchini. Kutokana na hilo, sisi wananchi tunawasihi watalii kuwa wanapaswa kuwa waangalifu na kufikiria mara mbili kabla ya kuja Tanzania, kwani uwepo wa magonjwa haya unaweza kuhatarisha afya zao. Ebola ni ugonjwa hatari wenye kiwango kikubwa cha vifo, huku Mpox ukiwa na athari kubwa kwa ngozi na kinga ya mwili, hivyo kuwafanya wasafiri kuwa kwenye hatari zaidi.
Kwa kuwa hali ya usalama wa kiafya nchini inatajwa kuwa mashakani na viongozi wa chama chenye dhamana ya serikali, ni vyema wageni wakachukua tahadhari kwa kusitisha safari zao hadi itakapothibitishwa kuwa Tanzania iko salama dhidi ya magonjwa haya.
Aidha, iwapo madai ya CCM ni ya kweli, basi kuna haja ya hatua za haraka kuchukuliwa kudhibiti ueneaji wa virusi hivi, kwa kufunga mipaka na kuimarisha uchunguzi wa afya kwa wageni wote. Ili kujilinda, watalii wanashauriwa kuchagua maeneo yenye uthibitisho wa usalama wa kiafya badala ya kuhatarisha maisha yao kwa kuingia Tanzania katika kipindi hiki cha taharuki.
Sisi kama wananchi tunamshukuru Makala kwa kuweka hadharani mpango huu wa wapinzani wenye nia ovo kwa nchi yetu.
Mungu Ibariki Tanganyika
Gutter politics. Kwa hiyo chadema wao hawaogopi ebola, mpox?Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Amos Makala ameeleza wasiwasi wake kuwa upinzani, hususan CHADEMA, unahatarisha afya ya Watanzania na wageni kwa kutaka kuingiza virusi vya magonjwa hatari kama Mpox na Ebola lengo likiwa ni kuzuia uchaguz wa Oct 2025 kutofanyika.
Kwa mujibu wa kauli za kiongozi huyo wa CCM, mikusanyiko ya CHADEMA na mahusiano yao na mataifa ya nje yanaweza kuwa chanzo cha kuingizwa kwa virusi hivyo nchini. Kutokana na hilo, sisi wananchi tunawasihi watalii kuwa wanapaswa kuwa waangalifu na kufikiria mara mbili kabla ya kuja Tanzania, kwani uwepo wa magonjwa haya unaweza kuhatarisha afya zao. Ebola ni ugonjwa hatari wenye kiwango kikubwa cha vifo, huku Mpox ukiwa na athari kubwa kwa ngozi na kinga ya mwili, hivyo kuwafanya wasafiri kuwa kwenye hatari zaidi.
Kwa kuwa hali ya usalama wa kiafya nchini inatajwa kuwa mashakani na viongozi wa chama chenye dhamana ya serikali, ni vyema wageni wakachukua tahadhari kwa kusitisha safari zao hadi itakapothibitishwa kuwa Tanzania iko salama dhidi ya magonjwa haya.
Aidha, iwapo madai ya CCM ni ya kweli, basi kuna haja ya hatua za haraka kuchukuliwa kudhibiti ueneaji wa virusi hivi, kwa kufunga mipaka na kuimarisha uchunguzi wa afya kwa wageni wote. Ili kujilinda, watalii wanashauriwa kuchagua maeneo yenye uthibitisho wa usalama wa kiafya badala ya kuhatarisha maisha yao kwa kuingia Tanzania katika kipindi hiki cha taharuki.
Sisi kama wananchi tunamshukuru Makala kwa kuweka hadharani mpango huu wa wapinzani wenye nia ovo kwa nchi yetu.
Mungu Ibariki Tanganyika
Muulize Makala au ccmGutter politics. Kwa hiyo chadema wao hawaogopi ebola, mpox?
Hehe..... Gutter politics ndio nini mzee😅😅Gutter politics. Kwa hiyo chadema wao hawaogopi ebola, mpox?
Siasa za maji takaHehe..... Gutter politics ndio nini mzee😅😅
The term “gutter politics” refers to the use of personal attacks, character assassination, and scandal-mongering as a tactic to discredit or malign opponents rather than focusing on policy issues or ideological differences.Siasa za maji taka
Sasa cha pombe kama huyu ni wa kumpuuza tu, maahavu yamevimba kwa kunywa mipombe,mi ccm kawaida, kwa, propaganda chafu,wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari.
Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama vya siasa.
=====
Makalla asema CHADEMA wanakusanya hela za tonetone ili walete Ebola na Mpox na kuweza kuzuia uchaguzi!
View attachment 3279769
=====
Maoni ya Wadau kutokana kauli ya Makala
===
===
===
====
===