PreGE2025 Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakati CCM wakijidai wamesahau uchafu wao huu na kuunda tume ya makada kukutana na makada kwenye viyoyozi pale BoT wakati risasi zilizoua watu zilirindima mitaani .

Ninawakumbusha CHADEMA mnayo haki na uwezo wa kufungua kesi ya muhimu kabisa kwa tuhuma nzito kama hizi na mnaweza kuifungua hata mahakama za kimataifa ili huyu kada wa Lumumba aeleze vizuri na iwe ni fundisho waanze kujifunza kufanya propaganda zenye akili.

Kwani kauli hii ya kuingiza virusi vya Ebola inaangukia katika kundi la Weapons of Mass Destruction [WMD] ambayo imetungiwa kanuni na kuwekewa zuio na umoja wa mataifa.

Cc Salary Slip ,zitto junior Kalamu
 
Chadema hawana akili hiyo ukimtoa Lissu chadema waliobaki akili zao ni average tu
 
Waandamanaji walikua na silaha.

Kulikua na vituo vya mafunzo .

Waandamanaji walilipwa kuandama.

Waandamanaji walinunuliwa simu kurekodi matukio.

Virusi vya Ebola viliingizwa..

Je tume ilirecord kesi ngapia za Ebola hadi October 29 mwaka jana?
 
Back
Top Bottom