Hakuna mtu anayeweza kuparaganyika kwa maneno ya mlevi mbwa kama guluguja Makalla, na anayeamini maneno yake huyo ni mwehu kama alivyo makalla.Naona chadema wameparaganyika kwa makala kiwaimbua. Anasubili mseme su ili atoe evidence
Chadema wamerishia kwenda mahakamani. Sasa jaji akitoa rulling in favour of Makala, chadema itakuwa imejiua yenyewe
Hii ndio shida ya kuwapa vyeo Wasela
duu hii Kali kama tumefikia hapo!wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari.
Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama vya siasa.
=====
Makalla asema CHADEMA wanakusanya hela za tonetone ili walete Ebola na Mpox na kuweza kuzuia uchaguzi!
View attachment 3279769
=====
Maoni ya Wadau kutokana kauli ya Makala
===
===
===
====
===
===
Walichojibu Chadema: Pre GE2025 - John Heche: Awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi
Huyo Makalla ni mgonjwa wa akili, CHADEMA wataleta vipi Ebola????????? HUYU AKILI ZAKE ZIMESHAHARIBIKA.wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari.
Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama vya siasa.
=====
Makalla asema CHADEMA wanakusanya hela za tonetone ili walete Ebola na Mpox na kuweza kuzuia uchaguzi!
View attachment 3279769
=====
Maoni ya Wadau kutokana kauli ya Makala
===
===
===
====
===
===
Walichojibu Chadema: Pre GE2025 - John Heche: Awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi
Kwa hiyo huoni cpa makala anataka kuwa discredit chadema kwa kuwatuhumu kwamba wanataka kuingiza nchini ebola, mpoxThe term “gutter politics” refers to the use of personal attacks, character assassination, and scandal-mongering as a tactic to discredit or malign opponents rather than focusing on policy issues or ideological differences.
From Political Dictionery
Walishaona nchi ni yao. Hatari.Hii ndio shida ya kuwapa vyeo Wasela
Haiwezekani kumsamehe huyo mtu muongoSidhani kama kuna haja ya kumshtaki
Ni kumpuuza tu, na kumsamehe bure.
huyu akisamehewa kichwa kitaongezeka!!👿 asisamehewe na ilibidi muda huu awe ameshajiuzulu!!Sidhani kama kuna haja ya kumshtaki
Ni kumpuuza tu, na kumsamehe bure.
Mkuu, Makala sio mpuuzi. Anajua anachofanya. Watanzania wengi tu wataamini analosema. Au umesahau kuwa watanzania waliamini kuwa Mask za kutoka nje zina vidudu vya Covid? Au bibi mwenye macho mekundu ni mchawi? CDM wasifanye kama ambavyo Democrats walivyofanya pale Trump alipotoa kauli kama "watu wa Haiti wanakula mbwa na paka wenu. Ukimpigia kura Kamala iko siku mtoto wako wa kiume ataondoka asubuhi kwenda shule na atarudi akiwa msichana"...Makala amekuwa mpuuzi kabisa.
..Sijawahi kuona Ccm wameishiwa kwa hoja kiasi hiki.
Mwenye ubavu wa kumuhoji anatoka wapiHicho alichosema anapaswa kuhojiwa atoe ushahidi, sio jambo dogo la kupuuzwa linaweza kutishia USALAMA WA TAIFA.
KweliMh. Makalla kiukweli katuaibisha sana CCM.
Pedeshee huyuHii ndio shida ya kuwapa vyeo Wasela