Makalla: Heche na wenzake ni Watumishi hewa ndani ya CHADEMA, hawana tija!

Makalla: Heche na wenzake ni Watumishi hewa ndani ya CHADEMA, hawana tija!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA kujifunza kutoka kwa CCM.

 
Moja ya watu wenye uwezo mdogo sana wa akili asiejua aongee nini ili iweje ni hili tikiti maji, yani halijawahi kuongea jambo la maana hata siku moja kila akifungua kinywa ni pumba tuu zinatoka,
naomba ile project ya kuwamaliza kwa radi ipitie hili tikiti maji
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA kujifunza kutoka kwa CCM.

View attachment 3339335
In fact,
kamati kuu ya chadema Taifa wote hawana ajira, biashara wala kazi halali za kujiongezea kipato.

wanategemea tone tone kibakuli kujikimu, maana tone tone kidigitali imekauka 🐒
 
Kuna watu naona wengekuwa wazuri kwenye kuimba taarabu, lakini chama changu pendwa kinahitaji watu makini wenye uwezo wa kujenga hoja na kueleweka kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom