Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
CCM ni kusanyiko la majitu majinga haswamakala anamiliki moto wa masoko,ukimwi wa akili na AM academia maana sio FM
sasa hapo kaona kapiga siasa kuhusu chama.
NA WATU WAMEKAA KUMSIKILIZA ANAELEZA SERA ZA CHAMACCM ni kusanyiko la majitu majinga haswa
Watakuita mhaini muda si mrefuAtupe ushahidi wa nyaraka kama ule wa mkataba wa DP World.
Maana ule ushahidi wa kuingiza virusi vya Mpox na Ebola alishindwa kutupa.
Hawa wahuni ni tatizo kabisa ndio shida ya kuokoteza vilaza wanawapa nafasi na uwezo wao wa kujenga hoja ni 0 , wakizidiwa ni kutumia polisi.Watakuita mhaini muda si mrefu
Kaishiwa hojaHuyu babu ni mpumbavu sn, kwani kumiliki vitalu kisheria ni kosa? wana CCM wangapi wanamiliki vitalu?
Chauma inauma!!Na wewe unamiliki CHAUMA.
Pumba kabisa huyu. Vitalu wamegaina CCM tu na majina yaliyojaa Block "A" ni Mawaziri, Mkatibu, Wakuu wa mikoa na watoto wao. Block "A" ndio dhahabu ya kumwaga ipo.Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"
Hizi akili ndo kama zile walizonazo walimu, madereva na waajiriwa serikalini... Yaani wanafikiri wameajiriwa na ccm!Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"