Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,601
- 34,760
Well, sasa tunajua mgodi wa makaa ni wa nani ! Kasema PolepoleKuna umuhimu wa kuuanzisha mjadala maalum kuhusiana na ufujaji wa mali za wananchi chini ya tawala hizi za CCM; maana kuna mambo mengi sana sasa yanayofanyika bila ya wananchi kujuwa wanufaika wa jasho lao ni kina nani.
Ukisikia CCM kuwa na mgodi wa makaa ya mawe, na usijuwe pesa inayo patikana inafanya kazi gani; hapo ndipo panapokuwepo na maovu mengi tunayoyashuhudia ndani ya chama hicho.
Kuna mengi