Makalla anaongea bila kufikiri ni hatari sana
Kumiliki vitalu haijawa kosa lolote! orodha ya wamiliki vitalu iwekwe wazi halafu Makalla aichambue
Pili, kuna wanaomiliki vitalu kutokana na ''Carbon Tax'' ni Wastaafu wakitanguliza watoto wao! Makalla aongelee pia
Tatu, Makalla aongelee mafao ya viongozi Wastaafu alinganishe na pesa zinazokwenda katika mkoa mmoja tu
Makalla anashangaa Lema na Heche kuwa na Vitalu vya madini ! Makalla ajiulize gharama za kituo kimoja cha Afya alinganishe na mafao ya Mke wa Mstaafu yoyote awe Spika, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.
Yaani tunalipa wanandoa kwa kupendana tena pesa nyingi kuliko zinazokwenda kwenye Hospitali za Wilaya
Makalla anafungua ''pandora box'' nadhani kuna haja ya kuanika madudu hapa, katusaidia kufungua mjadala
Tindo JokaKuu