Huyu Amos Makala , hawa CCM walimuokota wapi ?Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"
NAKAZIA HAPO, SHIDA ILIANZIA KWA jakaya.CCM ni kusanyiko la majitu majinga haswa
Hii nchi uwepo mkubwa wa wajinga ni tatizo, na I wish kungekuwa na sheria ya kuwafanya mafisiemu wote kama wanavyofanyiwa magaidi wanaokamatwa.NA WATU WAMEKAA KUMSIKILIZA ANAELEZA SERA ZA CHAMA
Anajiita CPA.Sasa sijui ni Cpwaaa wa kileo?Hawa wahuni ni tatizo kabisa ndio shida ya kuokoteza vilaza wanawapa nafasi na uwezo wao wa kujenga hoja ni 0 , wakizidiwa ni kutumia polisi.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"
Unajua ya watu tu!Wewe unamiliki makwapa-mpauko?Heche vitalu sio vyake kamshikia mtu
Hata prado kapewa bure
Namiliki kitambi ya Chiba LissuUnajua ya watu tu!Wewe unamiliki makwapa-mpauko?
Una wenge wewe.Unachomiliki kinajulikana.Namiliki kitambi ya Chiba Lissu
Zao la "line" hilo, CPA kama teja ambaye hajui hata mlango wa darasa!Hizi akili ndo kama zile walizonazo walimu, madereva na waajiriwa serikalini... Yaani wanafikiri wameajiriwa na ccm!
Kumbe hadi MaCPA nao hawana akili??
Hivi bungeni wakiweka mashine za kukagua "uanaume", utawezaje kupita pale!!??Namiliki kitambi ya Chiba Lissu
Muulize Lissu na lile woowo atapita??Hivi bungeni wakiweka mashine za kukagua "uanaume", utawezaje kupita pale!!??
Hilo neno ushoga umeliona mahala popote nimeliandika!!?Muulize Lissu na lile woowo atapita??
Alafu sikia dogo ushoga ni asili yenu juzi naona mmemwanika Mchome live
Hujaelewa acha mihemko. Kasema nchi hii ni yetu sote na fursa ni za wote, hata lema na heche wananufaika kama watanzania wengine kwahiyo msiwapangie watu kuhusu mambo ya kupiga kura kila mtu atumie fursa zilizopo.Huyu babu ni mpumbavu sn, kwani kumiliki vitalu kisheria ni kosa? wana CCM wangapi wanamiliki vitalu?