Pre GE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani atoke alipotaka kupewa rushwa na Abduli alafu ahamie aliko Abduli na wagawa rushwa wenzake?
🤣🤣🤣
 
Watanzania tunahitaj watu madhubuti bila kujali chama, dini Wala jinsia kuipambania nchi yetu
 
Aende zake tu,hakuna aliyemkubwa zaidi ya Chama.Chadema ni taasisi sio mtu ebo!
 
Mbona ccm na rushwa ni kama samaki na maji?!
Kimsingi uhai wa ccm unatokana na rushwa tu, Makala anajaribu kudanganya wajinga...

 
Kwa hilo jibu laini kutoka kwa TAL, nashawishika pasi na shaka kusema kwamba huenda kweli yuko mbioni kujiunga na Sisiemu, kama hajajiunga nao moyoni tayari!

..Abduli ajiunge Chadema.

..Lissu ajiunge Ccm.
 
Aje ccm tena kwani hakuna rushwa huko ccm wewe unalijua ccm na rushwa wewe jaribu kuomba nafasi ndani ya chama cha ccm ndiyo utajua rushwa na uchawi
 
Kwa nini jina la mtu unaliandika kwa kuanza na herufi ndogo?
 
Haya ndio madhara ya kuokoteza viongozi wasiokuwa visionary! Unamsemea mtu jambo ambalo hajawahi kukutamkia au kulisema.
 
Bongo bhana kwa iyo lissu akihamia ccm ndo ukali ww maisha utapungua hv tuwe wakweli kuna sehemu kuna rushwa km ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…