Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla.

Chanzo: Wasafi FM
 
Ad hominem logical fallacy.

Non Sequitur logical fallacy.

Argument from authority fallacy.
 
Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla.

Chanzo: Wasafi FM
Huyu Makalla naye si vema angefunga tu domo lake.
Kwani asipokuwa na jibu kwa nini katiba ya chama inasiginwa si akae kimya tu?
Maswali yanahitaji majibu yenye akili na wananchi tutaelewa, si bla bla.
Hata Wassira si alitoka vyama vya upinzani?
 
Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla.

Chanzo: Wasafi FM
Ni hoja isiyokuwa na mashiko. Kwa umri wake, Mzee Malisa hawezi kuwa ameanzia vyama vya upinzani ndiyo akaja CCM. Mfumo wa sasa wa vyama vingi ulianza 1992. Before that, kuliwa na political affiliation option moja tu: CCM! Needless to say, Malisa is just one of thousands upon thousands of CCM members who believe Samia’s nomination is unconstitutional.
 
Back
Top Bottom