Tuna waamini kwa hayo machache unayosema.Ni bora wizara tatu nne lakin hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu ambao wakiambiwa kuandamana wanasema lissu atangilie na watoto wake, huko kenya mmeona mtoto hata mmoja wa Raila kwenye hayo maandamano? so nasema hivi hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu mpaka mtakapojitambua ndio makamanda watawapambania.
Kuna afande mmoja alikula gwala moja ya dunia kutoka kwa raia wa kunya hadi suruali akaiokotea magotini....πππhii video bana,,kuna afande mmoja katupa ile ngao kaona inampa uzito kwenye miguu kufungukaπ
Walipgika watu Wakaja kutupwa kwenye karandinga nako Wanapokelewa na vipigo.Chadema walitaka kuletea huu ujinga kipindi fulani
Naona wanasiasa uchwara washakugeuza daraja. Kila mtu anakutumia katika shughuli zake na kukutelekeza.Kijambio nitasubiri wewe na mamako mumpe mkiwa pamoja kisha na mimi nitakubali.
huna akili.Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.
R.I.P Akwilina
Bila kuwadhibiti hizi tumbili hakika taifa lingevuna mabuaWalipgika watu Wakaja kutupwa kwenye karandinga nako Wanapokelewa na vipigo.
Acha kabisa, sikia kwa mwenzio.
Narudia tena hakuna kamanda atapambania wapumbavu hasa sukuma gang, kuhusu sijui kulamba asali hio ni lugha aina ya misimu ambayo haina effect yoyote maana sukuma gang ndio wanahangaika nayo kwasababu walizoea kuuwa na kuteka watu so SAMIA kwa kiwa ni mcha MUNGU ameona ni bora aandae makaz ya mbingun vizur kwa kutokutumia madaraka hovyo kama alivyofanya mungu wenu wa chato.Kupitia haya maelezo yako, kama kuna Kamanda yeyote yule aliyekwisha tayari kulamba asali, halafu anataka kurudi zake "uhamishoni", ni bora akarudi tu.
Hakuna sababu ya msingi ya kuwatukana wapiga kura, Kamanda.
π€£π€£π€£π€£ yani dada yetu amekuwa useless kabisa. Ndio maana kwa aibu anabadilisha IDs kila siku.Akirudi nyumbani hoi! Usongo bwelele. Anamwambia mme wake au sijui mke wake kuwa ana ajira....bora kuliko ya kufukuza upepo
denooJ Tanzania ni bomu baya sana linaloweza kulipuka muda wowote. Ogopa sana sana wananchi wanaoonekana mazoba kama watanzania japo wanakandamizwa. Itakuja kutokea kitu kidogo sana eg bodaboda mmoja kuuawa na polisi na nchi yote itawaka moto. Ubaya wa kufikia kwenye hali kama hiyo ni kwamba amani hairudi mapema.Uthubutu, hiki kitu naona ndilo jambo la msingi zaidi, na linajengeka kulingana na tabia za wahusika hasa kutokana na matukio yaliyopita.
Hivyo, kama bado hapa kwetu hatujawahi kufanya maandamano, itatuchukua muda kuja kuyafanya, na pale itakapotokea tumeshafanya, basi hatutakuwa tunajiuliza nini tunajifunza kutokana na yanayotokea kwa majirani zetu, kwani tutakuwa tumeshapata experience.
Usikate tamaa. Piga kura kwa uangalifu 2025.Sahihi na ndo nipo ivo kwangu wanasiasa wote kwangu ni wale wale
Mimi siko hapa kutafuta ujanja maana huko nilishapita na kuwaachia watoto, nilichokujibu ni kwamba nitakuwa tayari kutoa kijambio kama ulivyoandika nikiona wewe na mamako mnapigwa kisawasawa kwa wakati mmoja na chongolo au yule wa phd ya kununua msukuma.Naona wanasiasa uchwara washakugeuza daraja. Kila mtu anakutumia katika shughuli zake na kukutelekeza.
Umekuwa mtu wa kucomment kila kitu unachoona kinawagusa wanaokutuma, huku watoto wa wale unaowapigania wakishinda kwenye computer zao wakijifunza mambo ya maana kuhusu future zao hapo baadae.
Afu eti mwenyew unajiona mjanja πππ ama kweli nyani haoni kundule
ππππππ€£π€£π€£π€£ yani dada yetu amekuwa useless kabisa. Ndio maana kwa aibu anabadilisha IDs kila siku.
Mara ajiite Mmawia, mara Dawa ya kijambio chake nk.
Unapoteza muda wako bure kubishana na mtu ambae akili yake iko ndani ya mfuko wa suruali ya Mbowe.Kupitia haya maelezo yako, kama kuna Kamanda yeyote yule aliyekwisha tayari kulamba asali, halafu anataka kurudi zake "uhamishoni", ni bora akarudi tu.
Hakuna sababu ya msingi ya kuwatukana wapiga kura, Kamanda.
Mkwere nyoko.... Nikikumbuka namna alivyo watenda Makamanda mbavu sina.Bila kuwadhibiti hizi tumbili hakika taifa lingevuna mabua
Wewe umejuaje kama hao uliowataja ni wazee wa kijambio? Bila shaka umeshawahi kuwapa cha kwako.Mimi siko hapa kutafuta ujanja maana huko nilishapita na kuwaachia watoto, nilichokujibu ni kwamba nitakuwa tayari kutoa kijambio kama ulivyoandika nikiona wewe na mamako mnapigwa kisawasawa kwa wakati mmoja na chongolo au yule wa phd ya kununua msukuma.
Acha upumbavu, unafikiri kuna aliyezaliwa kwa ajili yako? Unenepeane tu halafu watu wakupiganie? Haipo hiyo.Odinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza π π
Akwilina alipigwa risasi ya moto, ndivyo ulivyokuwa uongozi wa dikteta Jiwe. Kuua ndiyo ulikuwa utaratibu wake kwa wale anaitofautiana nao kiitikadi matokeo ya amri zake za kuua watu hovyo kwa risasi ndiyo wakaua mpaka binti mdogo asiyehusika kabisa na siasa zenu.Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.
R.I.P Akwilina
Nasema hivi nikiona wewe na mamako mnapigwa kijambio na chongolo na yule wa phd fake msukuma namimi nitakupa kijambio.Wewe umejuaje kama hao uliowataja ni wazee wa kijambio? Bila shaka umeshawahi kuwapa cha kwako.