Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

Nyau ana EGO na ndio inampeleka vibaya😂
 
Mwanaume ukipigwa na mwaume mwenzako unaenda kupigana nae na sio kuomba msaada kutoka kwa mwanaume mwingine akusaidie mkampige adui yako wote wawili.

Umepigwa na Iran USA anaingia kufanya nini? Kwani Iran kasapotiwa na nani?

Nimeshawaambia Israhell bila USA na West support ni taifa mfu
 
Nyau ana EGO na ndio inampeleka vibaya😂
Ndiyo maana sasa hivi anatetemeka hovyo haamini macho yake kwa yanayoendelea. Na akifanya masihara atapata kiharusi.

Na alivyokuwa jau nguvu yenyewe hana!

Anaomba msaada Marekani imsaidie kulipiza kisasi ili asionekane mnyonge. Hafikirii athari ambayo itakayoigharimu nchi yake, yeye anafikiria kutunza pride yake.

Inabidi wamtoe kwa nguvu hapo Israel. Wakiendelea kumchekea ataichafua mashariki ya kati yote.

Kitu ambacho Israel inabidi ikielewe ni kwamba Iran ni machizi kama wao!
 
Makombora ICBM 200 with zero impact???
Hivi wavaa kobazi mnazikumbuka zile tambo zenu kwamba Yahudi hawezi kwenda lebanon? Au ndo mnajisahaulisha... Leo yuko lebanon anajipigia tuu hao madevu..
 
Wanakurupuka eeh? ila mziki wao mnaujua kuna mmoja ameresign cheo chake juzi tangu 1991 na bado watakufa sana
 
Umeandika kimahaba sana tuambieni huyu yuko wapi 🤣🤣

View: https://x.com/yashar/status/1842759388882473284?t=vSIhTIR3S20lXACh2yujvw&s=19
 
Mmarekani hapigani vita isiona maslahi kwake km sio kuuza silaha basi atapata rasilimali kutokana na hio vita na sometimes anazianzisha yeye ili auze silaha,wanajeshi wake mpk wanakasirika kusipikua na vita maana wanakua wanabaki ofisini na wao wanapenda kwenda field.
Ukimuona mmarekani yupo ujue kunamaslahi,UkreIni yupo kwakua raisi wao ni myahudi,israeli the same huyo jamaa anapenda vita,anayofanya Israel ingekua nchi nyingine mngeambiwa ni gaidi mkubwa sana but Kwa mmarekani ni halali
 
Wamekusikia mkuu wa vigango.
 
Sahizi Iran atapewa Iskander na mrusi ili kuwaangamiza panya watakaojificha kwenye bunkers😂 akiwemo Netanyahu na asiombee radar iwasome huko mafichoni.
Juzi tu myaduh kakichafua sana kwenye base za mrusi pale syria pamoja s400 zake
Bado tu mnnadika kishabiki
Hii ni ndege ya mizigo ya iran ilikuwa inaenda lebanon unajua kilitokea nini
Waliambia warudi walipotoka na israel kabla hawajailipua wiki iliopita ilitua syria israel ikalipua mizigo yote ilioshushwa so mambo msichukulie kishabiki kama utopolo na kolo

View: https://x.com/vcdgf555/status/1842419477364998635?t=a_ItE9z4AvNP_ZF4cVxxRA&s=19
 
Hajapiga base ya Russia, ni karibu na base ya Russia.
 
Hiyo Kila mtu anajua na ndio maana Iran imesema inataka kuondoa uwizi wa marekani pale Middle East
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…