Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

Netanyahu inambidi akubali hapo mashariki ya kati kuna chizi kama wao!

Ambaye haogopi kama wao!

Ambaye wana maamuzi magumu kama wao!

Ambaye ana uwezo wa kuleta madhara moja kwa moja Israel na makubwa.

Mistake yoyote atakayoifanya itaigharimu Israel pakubwa na ataingia kwenye historia ya taifa lao kama kiongozi mjinga.

Tatizo la Netanyahu ni kiburi ana majivuno na hakubali kudhalilika.

Ndiyo maana anatafuta kila namna ya kutoonekana mnyonge kwa Iran.

Sasa hii itamgharimu! Iran nao ni vichaa kama wao!
Nyau ana EGO na ndio inampeleka vibaya😂
 
Mwanaume ukipigwa na mwaume mwenzako unaenda kupigana nae na sio kuomba msaada kutoka kwa mwanaume mwingine akusaidie mkampige adui yako wote wawili.

Umepigwa na Iran USA anaingia kufanya nini? Kwani Iran kasapotiwa na nani?

Nimeshawaambia Israhell bila USA na West support ni taifa mfu
 
Nyau ana EGO na ndio inampeleka vibaya😂
Ndiyo maana sasa hivi anatetemeka hovyo haamini macho yake kwa yanayoendelea. Na akifanya masihara atapata kiharusi.

Na alivyokuwa jau nguvu yenyewe hana!

Anaomba msaada Marekani imsaidie kulipiza kisasi ili asionekane mnyonge. Hafikirii athari ambayo itakayoigharimu nchi yake, yeye anafikiria kutunza pride yake.

Inabidi wamtoe kwa nguvu hapo Israel. Wakiendelea kumchekea ataichafua mashariki ya kati yote.

Kitu ambacho Israel inabidi ikielewe ni kwamba Iran ni machizi kama wao!
 
Kiwewe cha Oktoba 1 kinaitesa Israel unajua Netanyahu kisaikolojia ni mtu asiyependa kushindwa Wala kuaibishwa kwa namna yeyote maana alishajitapa kuwa yeye pale Middle East ndio mwenye sharubu kwahiyo kile kipigo cha jumanne mpaka sasa presha yake ipo juu ni kwamba tu sasa mtu mwenyewe ni Iran lazima aombe msaada huku na huku na kujipanga ili ionekana amefanya kitu kujibu hata kama jaribio likifeli potelea mbali
Makombora ICBM 200 with zero impact???
Hivi wavaa kobazi mnazikumbuka zile tambo zenu kwamba Yahudi hawezi kwenda lebanon? Au ndo mnajisahaulisha... Leo yuko lebanon anajipigia tuu hao madevu..
 
Hii haisaidii kitu kwa sababu viongozi wanateuliwa wengine na watu wanaendelea na operation zao kama awali.

Anachotakiwa kufanya Israel ni kupiga miundombinu ya kijeshi ya Hizbullah na akifanya hivi atampunguza nguvu na kumdhibiti.

Hii kuua viongozi haisaidii kitu. Mpaka muda huu bado anashindwa kuingia South Lebanon licha ya kuua viongozi wengi wa Hizbullah.

Ni sawa sawa unapigana na Tanzania halafu kazi yako ni kuua makamanda wake hali ya kuwa base zetu bado zipo na silaha za kumwaga. Uwanja wetu wa ndege na bandari bado zinafanya kazi kama kawaida silaha zinaingia. Askari wetu bado wapo wa kumwaga. Wewe unahangaika kuua viongozi hali ya kuwa akiuliwa mmoja ni suala la kuteuliwa mwengine na shughuli inaendelea sasa unafanya nini?

Viongozi wa Israel ni kama genge fulani la wahalifu, maamuzi yao ni kukurupuka sana.

Hii vita wameshafeli hata kabla hawajaanza. Hizbullah imeshashinda hii vita.
Wanakurupuka eeh? ila mziki wao mnaujua kuna mmoja ameresign cheo chake juzi tangu 1991 na bado watakufa sana
 
Ndiyo maana sasa hivi anatetemeka hovyo haamini macho yake kwa yanayoendelea. Na akifanya masihara atapata kiharusi.

Na alivyokuwa jau nguvu yenyewe hana!

Anaomba msaada Marekani imsaidie kulipiza kisasi ili asionekane mnyonge. Hafikirii athari ambayo itakayoigharimu nchi yake, yeye anafikiria kutunza pride yake.

Inabidi wamtoe kwa nguvu hapo Israel. Wakiendelea kumchekea ataichafua mashariki ya kati yote.

Kitu ambacho Israel inabidi ikielewe ni kwamba Iran ni machizi kama wao!
Umeandika kimahaba sana tuambieni huyu yuko wapi 🤣🤣

View: https://x.com/yashar/status/1842759388882473284?t=vSIhTIR3S20lXACh2yujvw&s=19
 
Hawatofanikiwa kuingia Iran maana hawakuanza Leo tangu 1979 wamekua wakihangaika na Iran lakini ndio Iran imekuwa strong zaidi. Lakini naona kama huu ushirika mpya wa BRICKS ulioasisiwa na urusi nao utaleta mabadiliko makubwa sana katika siasa za kutawala hii Dunia.
Mmarekani hapigani vita isiona maslahi kwake km sio kuuza silaha basi atapata rasilimali kutokana na hio vita na sometimes anazianzisha yeye ili auze silaha,wanajeshi wake mpk wanakasirika kusipikua na vita maana wanakua wanabaki ofisini na wao wanapenda kwenda field.
Ukimuona mmarekani yupo ujue kunamaslahi,UkreIni yupo kwakua raisi wao ni myahudi,israeli the same huyo jamaa anapenda vita,anayofanya Israel ingekua nchi nyingine mngeambiwa ni gaidi mkubwa sana but Kwa mmarekani ni halali
 
Mbona mnaweweseka sana wakati nyie ndio mmeishambulia Israel Kwa vibaruti 200 Israel haiwezi kujibu hiyo tufanye Iran imeshinda naona mnakiwewe Sanaa wakati Iran imeshinda tulieni nyie wavaa kobazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamekusikia mkuu wa vigango.
 
Sahizi Iran atapewa Iskander na mrusi ili kuwaangamiza panya watakaojificha kwenye bunkers😂 akiwemo Netanyahu na asiombee radar iwasome huko mafichoni.
Juzi tu myaduh kakichafua sana kwenye base za mrusi pale syria pamoja s400 zake
Bado tu mnnadika kishabiki
Hii ni ndege ya mizigo ya iran ilikuwa inaenda lebanon unajua kilitokea nini
Waliambia warudi walipotoka na israel kabla hawajailipua wiki iliopita ilitua syria israel ikalipua mizigo yote ilioshushwa so mambo msichukulie kishabiki kama utopolo na kolo

View: https://x.com/vcdgf555/status/1842419477364998635?t=a_ItE9z4AvNP_ZF4cVxxRA&s=19
 
Unajua ndugu yangu, anachofanya Ayatollah ni siasa.

Wairan wamechoshwa na utawala wa kidini wenye uonevu na ukandamizaji. Hali ya kisiasa Iran ni Mbaya, hivyo, kuhamisha mada, anajaribu kuwaleta wananchi kwny ishu ya Israel, kwamba we have one enemy, Israel.

Hiyo ni njia ya kuwaunganisha wananchi.

Pili, anajaribu kuwapa moyo wapiganaji wake wa Hezbollah na Hamas waliochakazwa vibaya kwamba yuko pamoja nao.

Hivyo, anafanya shambulio ili mradi shambulio, hata kama halina madhara yeyote kwa Israel na linaigharimu Iran gharama kubwa kulitekeleza.

Israel na Marekani wanalijua hilo, hivyo wanaweza kumpotezea tu na kuendelea na oparesheni yao ya kusafisha Hamas na Hezbollah.

Lakini, wanaweza kumjibu ili asizoee.

Kwa maoni yangu mimi, kumpotezea ndio option bora zaidi.

Iran hana madhara yeyote kwa Israel, na wakiamua kumshughulikia, hachukui raundi.

Myahudi kapiga airbase ya Urusi na Urusi hawezi kufanya lolote, zaidi ya kutoa umbea tu wa kuona ndege za Israel, sembuse Iran.

Iran ni underdog.

cc Kiranga Nyani Ngabu
Hajapiga base ya Russia, ni karibu na base ya Russia.
 
Mmarekani hapigani vita isiona maslahi kwake km sio kuuza silaha basi atapata rasilimali kutokana na hio vita na sometimes anazianzisha yeye ili auze silaha,wanajeshi wake mpk wanakasirika kusipikua na vita maana wanakua wanabaki ofisini na wao wanapenda kwenda field.
Ukimuona mmarekani yupo ujue kunamaslahi,UkreIni yupo kwakua raisi wao ni myahudi,israeli the same huyo jamaa anapenda vita,anayofanya Israel ingekua nchi nyingine mngeambiwa ni gaidi mkubwa sana but Kwa mmarekani ni halali
Hiyo Kila mtu anajua na ndio maana Iran imesema inataka kuondoa uwizi wa marekani pale Middle East
 
Back
Top Bottom