Unajua ndugu yangu, anachofanya Ayatollah ni siasa.
Wairan wamechoshwa na utawala wa kidini wenye uonevu na ukandamizaji. Hali ya kisiasa Iran ni Mbaya, hivyo, kuhamisha mada, anajaribu kuwaleta wananchi kwny ishu ya Israel, kwamba we have one enemy, Israel.
Hiyo ni njia ya kuwaunganisha wananchi.
Pili, anajaribu kuwapa moyo wapiganaji wake wa Hezbollah na Hamas waliochakazwa vibaya kwamba yuko pamoja nao.
Hivyo, anafanya shambulio ili mradi shambulio, hata kama halina madhara yeyote kwa Israel na linaigharimu Iran gharama kubwa kulitekeleza.
Israel na Marekani wanalijua hilo, hivyo wanaweza kumpotezea tu na kuendelea na oparesheni yao ya kusafisha Hamas na Hezbollah.
Lakini, wanaweza kumjibu ili asizoee.
Kwa maoni yangu mimi, kumpotezea ndio option bora zaidi.
Iran hana madhara yeyote kwa Israel, na wakiamua kumshughulikia, hachukui raundi.
Myahudi kapiga airbase ya Urusi na Urusi hawezi kufanya lolote, zaidi ya kutoa umbea tu wa kuona ndege za Israel, sembuse Iran.
Iran ni underdog.
cc
Kiranga Nyani Ngabu