zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha kupotosha, nchi inaweka focus kwenye umeme wa Gesi hata hiyo Kinyerezi extension na Kinyerezi 3 itakua kwa ajili ya kufua gesi kuanzia mwakani. So strategy ni kwamba tusitegemee umeme wa Maji ambao hauko certain.Mwanzon alisema mvua zikianza bwawa likaingoaaji mgao utakua ndoto
Sahv anasema itachukua misimu miwili ya mvua mpka bwawa lijae maji[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kujaa halitakauka kwa sababu misimu ya mvua itaendelea na pia mitambo yote haitaendeshwa kwa wakati mmoja.Kulijaza misimu miwili ya mvua, lakini likijaa, maji yatatumika kuendesha mitambo kwa mwaka 1!
Maana yake ni kuwa kuna wakati lirakuwa tupu bila maji, na hivyo mgao kuendelea.
Mh.Rais anawasaidizi wa ovyo sana na bahati mbaya hata waaotakiwa kumsaidia kung'amua wasidiazi wa ovyo. Kauli ya Baba ake ilitosha kujua yaliyo nyuma ya afanyayo January, Makamba na kigenge chao wana nia ovu ya kumharibia Mh. Rais ili watengeneze utelezi wa wao kuserereka kwenye uchaguzi next term!itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.[emoji848][emoji2827]
Mvua zipi ikiwa Hadi Sasa huko Morogoro Kuna jua? 😆😆.Mvua Moja Litajaa, Muhimu Tuwe Watulivu Mitambo Ianze Kazi
Inahusikaje na Maji ya bwawa hii?Chama chenye laana. Natamani CCM ingekuwa mtu cku moja tuamke tukute amekufa. Nngeshangilia sana.
Haya maoni yako yanahusikaje na Maji kujaa kwenye bwawa?Mh.Rais anawasaidizi wa ovyo sana na bahati mbaya hata waaotakiwa kumsaidia kung'amua wasidiazi wa ovyo. Kauli ya Baba ake ilitosha kujua yaliyo nyuma ya afanyayo January, Makamba na kigenge chao wana nia ovu ya kumharibia Mh. Rais ili watengeneze utelezi wa wao kuserereka kwenye uchaguzi next term!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]CCM inawatangazia Wanachama Wapenzi na wafurukutwa wake kila mtu na ndoo kupeleka Maji ili kujaza BWAWA
Wewe sio Mungu,binafsi naona Ni upumbavu wa Mwendazake kutumia gharama kubwa kuweka bwawa la umeme wakati akikua fika kwamba Kuna hatari ya ukame na MafurikoBaada ya kujaa halitakauka kwa sababu misimu ya mvua itaendelea na pia mitambo yote haitaendeshwa kwa wakati mmoja.
Hata bwawa liwe full,mgao utaisha maana sababu za mgao Ni umeme kidogo na miundombinu chakavu,ukitatua la umeme inabakia la kukatika katikaKwa maana nyingine mgao upo pale pale labda hadi pale Mungu atapo leta mvua za kutosha
Anazungumzia kwa kulingana na mwenendo wa utabiri wa kiwango Cha mvua.Mbona anamfokea mleta mvua?
Huyu jamaa tayari kipanda kichwa kishamwingia, hayuko salama!
Anazungumzia mvua yeye kama Nani? Anaifahamu hiyo nguvu ya mvua?
Kwann wasichukue maji ya msimu mmoja yaendeshe kwa nusu mwaka🤔itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja
Ni wapumbavu tuu wachache wenye chuki zao hao,waulize wapi Kuna majenereta hawawezi kuleta majibu.Hivi hayo majenereta ni mangapi yanaoyouzwa kila siku!?..maana umeme ukikatika si dar si mikoani sioni hayo majenereta,zaidi ni kariakoo tu,Sasa miaka yote wanawauzia watu wa kkoo tu!!?..tafakarini mambo,mkiambiwa ukweli hamtaki,mnataka muongopewe,hili suala lilisemwa kabla hata bwawa halijaanza
Maji yameshuka enyewe mitambo na water pump za kurudisha hayo maji juu haitawezekana na umeme unaozalisha kwan utajikuta unahitaji umeme mwingi zaidi kufanya Hilo Jambo nilishawahi waza kipindi sielewi umemeNiliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwemye bwawa kuendesha mitambo kwa nn yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!
Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
Umetumwa weweAcha kupotosha, nchi inaweka focus kwenye umeme wa Gesi hata hiyo Kinyerezi extension na Kinyerezi 3 itakua kwa ajili ya kufua gesi kuanzia mwakani. So strategy ni kwamba tusitegemee umeme wa Maji ambao hauko certain.
Sasa watu hamtaki kusikia nyie mmekariri tu kuwa kama stiegler haijaanza basi ni mgao kwenda mbele!! Alternative za short term solution yaani hamtaki hata kuona!!
Sijawahi ku support CCM ila tuwe optimistic kwenye mambo serious
Kila siku wanakuja na tamko jipya.Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.
Hakuna mpinzani mjinga hivyo labda wewe.Hili suala la kufanikiwa huu mradi, linatuudhi sana wapinzani, huu mradi utatupunguzia kura 2025[emoji848]