Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Wewe ni wale msiostahili ktk maendeleo ya taifa hiliAnazungumzia kwa kulingana na mwenendo wa utabiri wa kiwango Cha mvua.
Kwa hiyo kosa lake Ni kukuambia ukweli au? Si mlikuwa mnasema bwawa halitakamilika ndio Hilo Sasa.
Rais muache January hapo hapo Hadi bwawa likamilike ili wale haters wake waaibike
🚮🚮Wewe ni wale msiostahili ktk maendeleo ya taifa hili
Misimu minne ndo itapendeza. !!Mvua Moja Litajaa, Muhimu Tuwe Watulivu Mitambo Ianze Kazi
Yeye ndo mwenye funguo ya handakiYote anayamaliza yeye.
Nope yaani bila kuongeza hata tone that capacity can last for a year producing...Kulijaza misimu miwili ya mvua, lakini likijaa, maji yatatumika kuendesha mitambo kwa mwaka 1!
Maana yake ni kuwa kuna wakati lirakuwa tupu bila maji, na hivyo mgao kuendelea.
na uhakika wa maisha ya milele kwa mujibu wa baba yake.Yeye ndo mwenye funguo ya handaki
Maana yake ni kuwa hata ikitokea mvua isinyeshe ndani ya mwaka husika, bado umeme utazalishwa kwa kutumia generator zote.Kulijaza misimu miwili ya mvua, lakini likijaa, maji yatatumika kuendesha mitambo kwa mwaka 1!
Maana yake ni kuwa kuna wakati lirakuwa tupu bila maji, na hivyo mgao kuendelea.
Maana au mantiki ya kauli ya waziri ni nini hasa?itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.[emoji848][emoji2827]
Khe umegeuka tena?Mvua zipi ikiwa Hadi Sasa huko Morogoro Kuna jua? [emoji38][emoji38].
Nyanda za Juu Kusini mvua inanyesha ya kuunga unga hata mpunga hawajaanza kupanda na tunaenda January Sasa.
Kugeukaje?
“Watu wazuri huwa hawafi”na uhakika wa maisha ya milele kwa mujibu wa baba yake.
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.