Raia gani hao wasiomwamini?mbona wengine tunamwamini sana tuMakamba haaminiki tena na raia sijui afanyaje aeleweke na wananchi wa kawaida.
Kwanza akwenda mzika Magufuli na pia alikuwa ameanzisha vuguvugu la kumsaliti pindi akiwa hai.
Magufuli kuna mengi mazuri kayafanya na ya kuendelezwa, lakini kuna mengi abaya ya kukemewa na kutoyafanya, mfano JPM alikubali kuwa hashauriki-hiyo ni handicap.Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili
Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana na tuhumiana hazijengi na zinawachanganya wananchi,
Kaendelea kusema pia mazuri aliyofanya rais Magufuli hayatapotea kwa kauli za kubeza lakini pia wanaotoa maoni ya kurekebisha mambo wasionekane ni wasaliti kwani ameanza kuona dalili ambazo sio nzuri
Zaidi msikilize hapa
Well said mkuuMseme alikosea nini, na nyinyi mnataka kurekebisha nini ili tuwapime .
Kwamba hiyo marehem alikuwa Mtume sio.Makamba haaminiki tena na raia sijui afanyaje aeleweke na wananchi wa kawaida.
Kwanza akwenda mzika Magufuli na pia alikuwa ameanzisha vuguvugu la kumsaliti pindi akiwa hai.
Huyu msaliti utaona anamchomekea maneno samia. Ni mnafiki tu anawakilisha wapigaji.Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili
Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana na tuhumiana hazijengi na zinawachanganya wananchi,
Kaendelea kusema pia mazuri aliyofanya rais Magufuli hayatapotea kwa kauli za kubeza lakini pia wanaotoa maoni ya kurekebisha mambo wasionekane ni wasaliti kwani ameanza kuona dalili ambazo sio nzuri
Zaidi msikilize hapa
Matunda ya uchaguzi wa 2020 ndo hayo.lazima waparuane tu
Angalua kaibuka na hoja, siyo vioja vya akina Kibajaji. Ni kweli hakuna dhambi kumkosoa mtu, wala hakuna sheria hapa TZ inayokataza kumsema ua kumkosoa mtu hata kama amekufa.Hatimaye Makamba kaibuka
Hakuna kituThere is a brain in that guy.
Na ndicho kisa cha kufanya Mungu amchukue ghafla kinyume na matarajio ya wengi. Magufuli alimkufuru sana Mungu akishinikiza sifa zote apewe yeye badala ya Mungu.Magufuli alifanikiwa sana kuwafanya baadhi ya watanzania kumwona mungu. Asiyekosea
Mama kajichanganya mwenyewe, watu walishauri avunje Baraza lote la mawaziri.Wale wezi wana taka Mama aendelee kuwafunga watu, kuwaibia watu, kuwapa watu kesi za kugushi. Maana walisha kula mbwa wanataka wamlishe na mama.
Tumeona Mama kaagiza kesi zisizonna ushahidi zifutwe, ila mwezi sasa Dpp yuko kimya. Mama kaahiza vyombo vya habari vifunguliwe, kanuni zifuatwr, waziri ana itisha vikao kujadiliana, yani hakuna nidhamu kwenye huu utawala.
Bado wanafikiribMagu yuko hai. Sasa tumuombe Mama awashughulikie hawa wote wanao pandisha mabega...
Avunje balaza ili iweje sasa?Mama kajichanganya mwenyewe, watu walishauri avunje Baraza lote la mawaziri.
Aanze upya,sijui kakutana na Nini huyu mama.
Kosa hili litamgharimu Sana.
Mwisho wa siku naiona aibu ikimpata
Well said Missile of the NationManeno mazuri sana January kaongea
Kushindana kuonyesha nani ni mnazi zaidi wa rais Magufuli is useless, this man is dead na harudi tena.
Na kushibdana kuonyesha nani ni mnazi zaidi wa rais Samia ni kupoteza muda, kwa sababu Samia keshasoma gemu lote anajua nini maana ya kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
Cha msingi ni kuwa turudi kujenga nchi kwa kutumia watu waliotosha kwa vigezo na siyo wanaojua sana kushangilia, kusifu na kujipendekeza.
Samia ana kazi kubwa ya kutengeneza serikali inayoendana na yeye na vision yake kwa nchi, hana budi kuondoa wale wote walioingia kwenye serikali kwa kununuliwa, kujipendekeza, uzandiki na fitna.
Aweke wataalamu huko kwenye kurugenzi za halmashauri na aachane na ukada
Unamlaumu vipi marehemu? Ili upate nini? Na nani ajibu malalamiko yako?Kama Mtu Akifa anasifiwa kwa Mema yake Basi lazima Pia Alaumiwe kwa Ubaya wake ili iwe Funzo na kwa Wengini na Sio Kosa Msema aliyekufa iwe kwa Mazuri au Mabaya.
Huyu ndiye hamna kitu kabisa.Majaliwa,