Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

Kama Mtu Akifa anasifiwa kwa Mema yake Basi lazima Pia Alaumiwe kwa Ubaya wake ili iwe Funzo na kwa Wengini na Sio Kosa Msema aliyekufa iwe kwa Mazuri au Mabaya.
Lazima kila alilotenda Duniani liwe bayana pasipo na ubaguzi
 
Hakuna anayesema Magufuli alikuwa Malaika. Lakini kutumia mwanya wa kuondoka kwake kuturudisha kwenye corruption ya wazi; ukwepaji kodi; uwekezaji holela wa wazungu n.k sio sawa. Tumeishatoka uko. Tumkosoe kwa mambo ya msingi kama kuweka mazingira rafiki ya biashara, kuongeza ajira na kuongeza demokrasia n.k. bila kusahau lengo ni kupeleka nchi mbele.
Report ya CAG inadhihirisha kuwa hizo corruption na ufisadi zimeshika kasi awamu ya huyo magufuli ndiyo maana lazima watu wapige kelele.
 
Kwani kulikuwa na tofauti gani kati ya utawala wa awamu ya tano na utawala wa awamu ya kwanza? Wanaolalamika JPM aliongoza kidikteta lazima wakubali Nyerere pia aliongoza kidikteta. Nyerere hakuruhusu upinzani na waliompinga walipotea au walihama nchi, hakuruhusu uhuru wa vyombo vya habari tena alipiga marufuku mpaka tv. Mashirika ya uma na miradi mingi iliendeshwa kwa hasara na alivyotoka madarakani uchumi aliuacha hoi. Vita ya uchumi na mabeberu Nyerere pia aliifanya. Tena Nyerere aliwadharau matajiri na kuwaona ni wanyonya uchumi. Kwa hiyo kiongozi wa CCM anayetaka kuisambaratisha legacy ya JPM ni kama anataka kuisambaratisha legacy ya Nyerere.
 
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili

Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana na tuhumiana hazijengi na zinawachanganya wananchi,

Kaendelea kusema pia mazuri aliyofanya rais Magufuli hayatapotea kwa kauli za kubeza lakini pia wanaotoa maoni ya kurekebisha mambo wasionekane ni wasaliti kwani ameanza kuona dalili ambazo sio nzuri

Zaidi msikilize hapa

BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA

Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya mafanikio makubwa ya Diplomasia ya Uchumi ya Hayati JPM. Maana iliua kabisa ndoto za Kenya kupitishia bomba hilo kwenda Bandari yake ya Lamu.

Mradi huu ni alama ya urithi itakayo ihakikishia Tanzania kiasi cha $12.7 kwa kila pipa litakalo safirishwa katika bomba hilo kutokea Uganda.

Hivyo kibiashara na kiuchumi, huu ulikuwa ni ushindi wa kimkakati kwa Tanzania wenye uwekezaji wa takribani $3.6bn na zaidi ya asilimia 70 ya bomba litapitia Tanzania hivyo itakuwa imevutia kiasi kikubwa cha uwekezaji kutoka nje kati hizi $3.6bn.

Bomba hili linatarajiwa kupitisha pipa la kwanza mnamo 2025. Na kwa siku yatasafirishwa mapipa 216,000 ya mafuta ghafi. Hii itaihakikishia Tanzania takribani $2.743 mil (Tsh 6.36bn) kwa siku. Hii ni sawa na $32.92mil (Tsh 76.32bn) kwa mwaka kama tozo ya kusafirishia mafuta hayo. Haya ni mapato mapya.

Kuna kama mapipa 6.5bn ambayo yamekwisha thibitishwa huko Uganda katika visima Kingfisher na Tilenga. Hivyo Tanzania itakuwa na uhakika wa kutengeneza mapato mengi zaidi kwa takribani miaka 30 ijayo kutokana na Mkataba uliohitimishwa siku ya Jumapili tarehe 11 Aprili 2021 wakati Rais Samia Suluhu Hassan aliposhuhudia utiwaji wa mikataba hiyo ya kimkakati. Kazi inaendelea. Huku Rais Yoweri K. Museveni akisema siku huyo ilikuwa ni siku ya Ushindi wa aina Tatu (Kitiva, Kisiasa na Kiuchumi) kwani Tanzania imekuwa sehemu ya kupigania ukombozi wa Uganda kutoka wa mikono ya Idd Amini pamoja na ukombozi wa bara la Afrika. Hivyo hii pia ni sababu iliyorahisisha uamuzi wa kuifanya Tanzania kuwa njia ya kusafirishia mafuta hayo ili Tanzania nayo ipata kitu kutokana na majotoleo yake katika Ukombozi wa Afrika.

Ndiyo maana ninaamini kuwa hapa JPM aliacha legacy kubwa..na ni ushindi kwa Tanzania katika Diplomasia ya Uchumi katika Afrika Mashariki dhidi ya Taifa lenye Uchumi mkuwa kwa sasa katika Ukanda huu.

Ninaamini pia faida zitakuwa ni nyingi zaidi ya tozo hii ya $12.7 kwa kila pipa litakalosafirishwa kwa siku. BOMBA hili kitakuwa linapashwa joto ili mafuta hayo ghafi nyenye mnato mkubwa (viscocity) yaweze kupita. Ninaamini kwa kuwa na Umeme wa uhakika pia tutapata mapato ya ziada yanayoweza kusaidia kurejesha fedha nyingi zilizowekezwa katika vyanzo vya Umeme hada bwawa la JNHPP-2115MW. Faida nyingine ni Ajira za muda mfupi na muda mrefu zinazofikia elfu kumi (10).

14.04.2021
Jonathan N'handi Mnyela
 
Mama kajichanganya mwenyewe, watu walishauri avunje Baraza lote la mawaziri.
Aanze upya,sijui kakutana na Nini huyu mama.
Kosa hili litamgharimu Sana.

Mwisho wa siku naiona aibu ikimpata

Mnaandika ujinga ujinga tu!

Angevunja baraza kuanza upya kwa kuwateua wapinzani ndivyo mlivyotaka au kuanza upya kwa kubadilisha mchuzi wakati nyama ni ile ile, nini maana yake sasa.
 
BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA

Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya mafanikio makubwa ya Diplomasia ya Uchumi ya Hayati JPM. Maana iliua kabisa ndoto za Kenya kupitishia bomba hilo kwenda Bandari yake ya Lamu.

Mradi huu ni alama ya urithi itakayo ihakikishia Tanzania kiasi cha $12.7 kwa kila pipa litakalo safirishwa katika bomba hilo kutokea Uganda.

Hivyo kibiashara na kiuchumi, huu ulikuwa ni ushindi wa kimkakati kwa Tanzania wenye uwekezaji wa takribani $3.6bn na zaidi ya asilimia 70 ya bomba litapitia Tanzania hivyo itakuwa imevutia kiasi kikubwa cha uwekezaji kutoka nje kati hizi $3.6bn.

Bomba hili linatarajiwa kupitisha pipa la kwanza mnamo 2025. Na kwa siku yatasafirishwa mapipa 216,000 ya mafuta ghafi. Hii itaihakikishia Tanzania takribani $2.743 mil (Tsh 6.36bn) kwa siku. Hii ni sawa na $32.92mil (Tsh 76.32bn) kwa mwaka kama tozo ya kusafirishia mafuta hayo. Haya ni mapato mapya.

Kuna kama mapipa 6.5bn ambayo yamekwisha thibitishwa huko Uganda katika visima Kingfisher na Tilenga. Hivyo Tanzania itakuwa na uhakika wa kutengeneza mapato mengi zaidi kwa takribani miaka 30 ijayo kutokana na Mkataba uliohitimishwa siku ya Jumapili tarehe 11 Aprili 2021 wakati Rais Samia Suluhu Hassan aliposhuhudia utiwaji wa mikataba hiyo ya kimkakati. Kazi inaendelea. Huku Rais Yoweri K. Museveni akisema siku huyo ilikuwa ni siku ya Ushindi wa aina Tatu (Kitiva, Kisiasa na Kiuchumi) kwani Tanzania imekuwa sehemu ya kupigania ukombozi wa Uganda kutoka wa mikono ya Idd Amini pamoja na ukombozi wa bara la Afrika. Hivyo hii pia ni sababu iliyorahisisha uamuzi wa kuifanya Tanzania kuwa njia ya kusafirishia mafuta hayo ili Tanzania nayo ipata kitu kutokana na majotoleo yake katika Ukombozi wa Afrika.

Ndiyo maana ninaamini kuwa hapa JPM aliacha legacy kubwa..na ni ushindi kwa Tanzania katika Diplomasia ya Uchumi katika Afrika Mashariki dhidi ya Taifa lenye Uchumi mkuwa kwa sasa katika Ukanda huu.

Ninaamini pia faida zitakuwa ni nyingi zaidi ya tozo hii ya $12.7 kwa kila pipa litakalosafirishwa kwa siku. BOMBA hili kitakuwa linapashwa joto ili mafuta hayo ghafi nyenye mnato mkubwa (viscocity) yaweze kupita. Ninaamini kwa kuwa na Umeme wa uhakika pia tutapata mapato ya ziada yanayoweza kusaidia kurejesha fedha nyingi zilizowekezwa katika vyanzo vya Umeme hada bwawa la JNHPP-2115MW. Faida nyingine ni Ajira za muda mfupi na muda mrefu zinazofikia elfu kumi (10).

14.04.2021
Jonathan N'handi Mnyela
Mwongo mkubwa!

Nionyeshe mkataba unaosema Tanzania itapata $12 kwa pipa.

Bei ya mafuta duniani ina fluctuate, mkataba hauwezi kamwe kuandikwa Tanzania itapata $12 kwa pipa.

Uongo wako wa pili: Museveni alishasema siku za nyuma kwamba ardhi ya Tanzania was dirt cheap kuikwapua na kuhamisha wananchi, ndio maana wakapitisha bomba Tanzania.

Sasa kama juzi Museveni kaongea mengine ya Tanzana na ukombozi wa Afrika basi kawaingizeni mkenge mumuone mwema sana nyinyi watu gullible and naive.
 
Pole Mkenya tuliwanyang'anya mradi
 
Makamba haaminiki tena na raia sijui afanyaje aeleweke na wananchi wa kawaida.

Kwanza akwenda mzika Magufuli na pia alikuwa ameanzisha vuguvugu la kumsaliti pindi akiwa hai.
lakin amechaguliwa kuwa mbunge. sasa hao wananchi wasio muamini ndio wamempigia kura.
 
Hawa walifaa kuwa washauri wa Mama
Wana mapungufu lakini wana utu kiasi
Hawa walioteuliwa juzi kati watata sana...
Nakubaliana na wewe potelea mbali bora tuingie kwenye hasara tufanye uchaguzi wa haki kabisa, bungeni hakuna kitu pale. Spika anadhubutu kusema mtu ambaye hayuko bungeni huku wana kazi kubwa ya kuijadili bajet. bunge livunjwe tuanze upyaaaaaa kwa sasa hapana.
 
Wale wezi wana taka Mama aendelee kuwafunga watu, kuwaibia watu, kuwapa watu kesi za kugushi. Maana walisha kula mbwa wanataka wamlishe na mama....
Acha uchonganishi mkuu, ivi ukisikia neno siasa unaelewaga nini.
 
Mheshimiwa Makamba amesema kumkosoa Hayati Raisi Magufuli sio Zambi. Je yale mabilioni anayodaiwa na NSSF ameshalipa? Au anataka kujikosha kwa ana busara sana mpaka kuona mapungufu ya Hayati?

My take. Kujipendekeza kwa Mama, kutatonyesha vinyonga wengi safari hii.
 
Na wewe umerudia upumbavu ule ule alioukataa Makamba!

Shida iliyopo sasa hivi ni kwamba kuna watu hasa wapinzani wanataka Samia aongoze kwa mawazo yao, yani utasikia toa yule weka yule, ukiuliza kwa sababu gani utaambiwa sababu aliteuliwa na magufuli!...
Hayo majitu ni vichwa maji hasa, afadhali umewachana katikati.
 
Mheshimiwa Makamba amesema kumkosoa Hayati Raisi Magufuli sio Zambi. Je yale mabilioni anayodaiwa na NSSF ameshalipa? Au anataka kujikosha kwa ana busara sana mpaka kuona mapungufu ya Hayati?

My take. Kujipendekeza kwa Mama, kutatonyesha vinyonga wengi safari hii.
We huko loaded
 
Back
Top Bottom