Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

Kwahiyo wale wote wenye mapungufu hawastahili kumkosoa huyo 'mungu wenu marehem'..

Watu walizuiwa kumkosoa akiwa hai
Bado hamtaki akosolewe hata sasa ameshakufa?..

Kwahiyo marehem wenu alikuwa perfect hakosei?
 
Mheshimiwa Makamba amesema kumkosoa Hayati Raisi Magufuli sio Zambi. Je yale mabilioni anayodaiwa na NSSF ameshalipa? Au anataka kujikosha kwa ana busara sana mpaka kuona mapungufu ya Hayati?

My take. Kujipendekeza kwa Mama, kutatonyesha vinyonga wengi safari hii.

Zambi=Dhambi
 
Karudie tena ile Video.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo wale wote wenye mapungufu hawastahili kumkosoa huyo 'mungu wenu marehem'..

Watu walizuiwa kumkosoa akiwa hai
Bado hamtaki akosolewe hata sasa ameshakufa?..

Kwahiyo marehem wenu alikuwa perfect hakosei?
Kabla ya kumkosoa mtu inabidi kujichunguza na mapungufu yako pia
 
Hakuna binadam mkamilifu, so kila mtu kukosolewa ni haki yake!

Na kukosolewa inaonyesha kuwa mtu kuna mambo ambayo anadhubutu kufanya. So kukosolewa ni kumrekebisha afanye vyema!

Sielewi ni kwanni watu wanakuwa mbogo Magufuli kukosolewa! Inaonyesha kuna mambo alikuwa na udhubutu kufanya. Na watu kumkosoa ni kumsaidia pia Mama Samia ayaendeleza lakini kwa ubora zaidi!

Ni busara ndogo tu inahitajika na si kufanya vita!

Sioni kosa la Makamba kutoa mawazo yake. Yalikuwa pia mawazo mazuri ya kujenga na yaliyojaa busara!
 
Nilichongudua ni kwamba CCM wamegeukana wenyewe kwa wenyewe
 
Waziri aliye enda naye Uganda akapiga Kiswahili kwa kujiamini. Ujumbe utakuwa umemfikia Mh.

Makamba naye kaongea kwa nidhamu na tahadhari kubwa. Hayati JPM alisema anaweka viwango vya utumishi kama Rais ili wataokamfuata kuongoza wapitie mumo mumo na hili limejidhihirisha wazi.
Aaa wapi, kawapigeni kwa kiswahili mnaojifanya wanazi wa mwendazake! Na kama Makamba Jr akiwa zao lolote, Hawezi kuwa zao la mwendazake, kwa vyovyote! Kuna watu wachache sana kwenye siasa ya Tanzania, anaweza kukosoa kwa hekima kama alivyo fanya Makamba hapa!
 
Kakosoa kwa hekima ama hofu na unafiki kwa kusema ambacho hakikuujaza moyo wake ila imemlazimu kusema hivyo eti "koti zuri" mawee! Hanabudi maana the standard bar is there to stay and for everyone to use it or face massive public rejection.

Waulize nduguze na prof teni teni, "the power of hunger" Wanatamani wangerudisha vifuani mwao matamshi yao lakini aah wàpi! Historia imeyaingiza kwenye kumbukumbu zake na yatawawinda kila itakapoonekana inafaa.
 
Makamba haaminiki tena na raia sijui afanyaje aeleweke na wananchi wa kawaida.

Kwanza akwenda mzika Magufuli na pia alikuwa ameanzisha vuguvugu la kumsaliti pindi akiwa hai.
Raia wa wapi hao wasiomwamini Makamba?
Kubalini mmefiwa, hii ni awamu nyingine si ile ya kusifu na kuabudu.
 
Kakosoa kwa hekima ama hofu na unafiki kwa kusema ambacho hakikujaza moyo wake ila imemlazimu kusema hivyo eti "koti zuri" mawee! Hanabudi maana the standard bar is there for everyone to use it or face massive public rejection.

Waulize nduguze na prof teni teni, "the power of hunger" Wanatamani wangerudisha vifuani mwao matamshi yao lakini aah wàpi historia imeyaingiza kwenye kumbukumbu zake na yatawawinda kila itakapoonekana inafaa.
Yote Sawa tu, lakini unakubali kwamba alicho kisema Junior siyo zao zuri la mwendazake! Eti aliweka njia, Makamba amepita mule mule, ni upotoshaji! Makamba hafuati njia yenu hiyo, anajaribu kuwarudisha kwenye njia sahihi!
 
Atafuata atake asitake labda aseme hataki kuwa kiongozi wa kisiasa hapa Tanzsnia na akamua kuwa anaenda kufanya biashara zake huko of which I don't see any trait of this in him. Huu ndio ukweli mchungu. Wafuate marangapi hata hivyo?!
 
Alishiriki kikubwa wizi wa kura za Lowasa 2015 laana itamuandama na kizazi chake
 
Ikiwa Baba wa Taifa mwenyewe alikiri katika utawala wake kuwa alikosea na akaandika kitabu "TUJISAHIHISHE" wanaoabudu katika watu wanasahau kuwa ni Mola pekee asiyekosea. Wanadamu tunakosea maamuzi hata matendo... kukosolewa sio uadui na kukosea sio uhukumiwe milele...
Tanzania ni nchi na mwendazake alifanya alichoweza wa uono wake na hivyo maono yake si msahafu kwamba sote tukariri na kuufuata huo... si kwamba alipatia sana kuliko wengine waliomtangulia. Na si kwamba alikosea sana kuliko waliomtangulia... MATATIZO YETU NI UKOSEFU WA KATIBA MPYA KILA ATAKAETAWALA ATAKUJA NA MAONI YAKE... TUVUMILIANE TU
 
Atafuata atake asitake labda aseme hataki kuwa kiongozi wa kisiasa hapa Tanzsnia na akamua kuwa anaenda kufanya biashara zake huko of which I don't see any trait of this in him. Huu ndio ukweli mchungu. Wafuate marangapi hata hivyo?!
Hiyo ingewezekana sana, awamu ya tano!
 
Back
Top Bottom