Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel


Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:

 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
 
@BICHWA KOMWE -
 
Bibi yetu kumbe kuna nyakati netweki inashika au ndio kusema kuna wakati unaamua kujitoa ufahamu? Angalau sasa unaonesha kidogo roho ya kiubinadamu kuhoji mustakabali wa raia wa Tanzania ambao wanateketea huko Israel bila hatia, mara nyingi tunakuona ukiwaunga mkono HAMAS wanaochinja watu hadharani
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....

Nilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
 
Uwe jeshini Israel halafu useme wanateketea bila hatia?

Una akili kichwani au kwenye masaburi?
 
Kwa hao vijana, kama ni kweli Watanzania, kuwepo jeshini Israel maana yake Tanzania imechaguwa upande na ipo vitani rasmi.

Tusidanganyane kuwa atanzania haifungamani na yeyote.
Israel pigeni mabomu yote hayo mashetani ya Hamas.

Damu ya watanzania haitawaacha salama, wataishi kwenye mashimo kama panya mpaka wakome.

A good Palestiane is a dead one.
 
Kama vile inaleta sense. Hii inahitaji uchumguzi.
 
Kweli waliosema "dini ni bangi ya wanadamu", hakukosea.

Ila kuna dini imezidi kulevya zaidi ya bangi ilevyavyo.
Cha ajabu hao wanaotetea hiyo dini,hata hawaelewi maandiko yao.

Yaani mtu ambaye ulikuwa unafikiri ni mwerevu,linatokea jambo fulani linalohusiana na watu ambao inasemekana hiyo dini ndipo ilipotokea, anawaunga mkono hao watu kisa tu ni ndugu katika imani.

Ujuha wa kutisha.

CCM na hizi dini hazina tofauti,wote wanawafanya misukule wafuasi wao.
 
Israel pigeni mabomu yote hayo mashetani ya Hamas.

Damu ya watanzania haitawaacha salama, wataishi kwenye mashimo kama panya mpaka wakome.

A good Palestiane is a dead one.
Mayahudi wanawapeleka nyie chambo kwa njaa zenu, nenda na wewe ukawasaidie wajomba wa mungu wako.

Si unaona Bashe anawasaidia wayahudi wenzie.
 
Myahudi aje kufundisha kivipi? Vijana wanaoenda kule wanatoka SUA na wanaenda kwenye mafunzo kwa vitendo, mimi ndugu alikwenda akawa huko kwa karibu mwaka mzima. Walikuwa attached kwenye mashamba ya huko, kwamba wanapelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi ni hoja dhaifu mno.

Kama ni mafunzo ya kijeshi wanapelekwa wanajeshi wenyewe, sio wahitimu wa vyuo vikuu.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…