Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Unazeeka na kuzidi kuwa mjinga, siku zote hizo usiandike huu ujinga wako wa kizee hapa, umeukumbuka leo ili kuwafichia siri hao ndugu zenu mashetani katika imani.

Kwani ni mara ya kwanza wanafunzi wa kitanzania kwenda kujifunza nje kwa makundi? kwanini huko kote msiseme wazungu walete watu wao kuja kuwafundisha? hujawahi kuona Tanzania na nchi za nje tukibadilishana wanafunzi?

Jinga wahed.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Vijana wawe jeshini Israel halafu Hamas wawakute nje ya mji wakiwa peke yao? umeona vitambulisho vyao vya jeshi?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Katazame picha vizuri post namba moja? Kunahitajika kitambulisho hapo?

Halafu hapa haongelewi Hamas, uliona katajwa Hamas sehemu? Kasome tena uzi namba moja usichanganye mada kwa kujifanye huelewi unachokisoma.
 
Unazeeka na kuzidi kuwa mjinga, siku zote hizo usiandike huu ujinga wako wa kizee hapa, umeukumbuka leo ili kuwafichia siri hao ndugu zenu mashetani katika imani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Leo ndiyo nimepata hizo picha.

Unanini la kusema kuhusu vijana wa Kitanzania na picha iliyopo post namba moja?

Bashe na Januari pamoja na Mamam) samia hawauelewi ukweli?
 
FaizaFoxy asipuuzwe kwenye hili. Vijana 260 kujiendeleza/kusomea kilimo specifically?
 
Leo ndiyo nimepata hizo picha.

Unanini la kusema kuhusu vijana wa Kitanzania na picha iliyopo post namba moja?

Bashe na Januari pamoja na Mamam) samia hawauelewi ukweli?
Hizo picha umezipata wapi wewe, tupe hiyo source, usitake kufanya hili jukwaa la watoto wadogo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Katazame picha vizuri post namba moja? Kunahitajika kitambulisho hapo?

Halafu hapa haongelewi Hamas, uliona katajwa Hamas sehemu? Kasome tena uzi namba moja usichanganye mada kwa kujifanye huelewi unachokisoma.
Nitazame picha mliyotengeneza studio vizuri ili inisaidie kitu gani?

Lete ushahidi wa video, au tupe source wapi hiyo picha umeipata tunaojielewa tupime uzito wake.

Usilete usanii wa kizee hapa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
The Boss umenifanya nijihoji baada ya kujiona mpumbavu. Nimekuelewa. We should dig deeper. Ila mtusaidie kufunguka akili zaidi.
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Nnaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kija a aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimi tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia inaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:

View attachment 2847132
Hivi ujinga ulisomea wapi, kuna mafunzo darasani na vitendo, Israel kwa sasa imeendelea kwa kilimo na nchi nyingi za Africa zinapata knowlegde ya kilimo cha kisasa
 
Nitazame picha mliyotengeneza studio vizuri ili inisaidie kitu gani?

Lete ushahidi wa video, au tupe source wapi hiyo picha umeipata tunaojielewa tupime uzito wake.

Usilete usanii wa kizee hapa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ushahidi uutakao mimi sina, nilionao ndiyo huo, sasa kuwa wakala wa Makamba na Bashe uijibu post namba moja.
 
Hivi ujinga ulisomea wapi, kuna mafunzo darasani na vitendo, Israel kwa sasa imeendelea kwa kilimo na nchi nyingi za Africa zinapata knowlegde ya kilimo cha kisasa
Hizi takataka zinashindwa kukemea unyama wa ndugu zao katika imani yameamua kuwalinda, hiyo dini nina wasiwasi nayo sana kama ndio ina waumini wa hovyo kama hawa wazee humu ndani.

Back
Top Bottom