Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Sasa,si utuambie ukweli halisi uliopo?,Mbona mnazunguka kwa kutuita wapumbavu!! Fungukeni na sisi tujue kilicho nyuma ya pazia
 
Hivi kumbe ukiacha ujinga wako wa udini huwa na hoja japo pale mwisho umeharibu lakini siyo mbaya
 
Israel pigeni mabomu yote hayo mashetani ya Hamas.

Damu ya watanzania haitawaacha salama, wataishi kwenye mashimo kama panya mpaka wakome.

A good Palestiane is a dead one.
Hawa wajinga hawezi kubaki salama hata mmoja
 

Maajenti hao
 
Ukiona hivyo fidia yake ya Magomeni imechelewa
 
kwa nini umekuwa criticised kwenye uislam kiasi hiki? Hebu kuwa moderate pengine utaeleweka bibie
Uislam hauna "moderate" wala "extreme" hizo ni "terminology" za kwenu kanisani ambako kufirana ni rukhsa kwa mujibu wa papa.

Uislam ni mmoja tu.
 
Uislam hauna "moderate" wala "extreme" hizo ni "terminology" za kwenu kanisani ambako kufirana ni rukhsa kwa mujibu wa papa.

Uislam ni mmoja tu.
Dah...!
Wewe unatamka hivi kweli ?
Hebu Mswalie Mtume.
 
Kama unamfahamu huyu, haya, mimi simfahamu:

 
Nilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
Uongo pitia vyombo vya habari sio habari za vijiweni hizo
 
Hayo utajuwa wewe, mimi maoni yangu yapo post namba 1 ni machache sana. kajikumbshe.
hebu achana na udini kuwa mzalendo, jali raia wa nchi yako, hao raia wa nchi nyingine unawatetea nini? Acha udini. Kumbuka pia kuna wauguzi wa kitanzania wamepata ofa kwenda saudi arabia, hapo napo utasema nini bibie mpendwa wetu humu?
 
hebu achana na udini kuwa mzalendo, jali raia wa nchi yako, hao raia wa nchi nyingine unawatetea nini? Acha udini. Kumbuka pia kuna wauguzi wa kitanzania wamepata ofa kwenda saudi arabia, hapo napo utasema nini bibie mpendwa wetu humu?
Rudi post namba moja ukanisome tena, unambie andiko langu wapi limekosa uzalendo?
 
Kwa hao vijana, kama ni kweli Watanzania, kuwepo jeshini Israel maana yake Tanzania imechaguwa upande na ipo vitani rasmi.

Tusidanganyane kuwa atanzania haifungamani na yeyote.
Issue ya kutofungamana na upande wowote ilikuwa katika vita baridi tu ya Ujamaa na Ubepari ila issue ya Israel na Palestina Tanzania ilikuwa upande wa Palestina na ndiyo maana tulivunja mahusiano na Israel mwaka 1973 na alikuja kurudisha uhusiano uo Maghfuli.

Tanzania iliandaa wapigania uhuru wa nchi za Africa, Tanzania itaendelea kuunga nchi yeyote kupambana kupata Uhuru wake kamili.

Viongozi wetu wasasahivi ni waoga tu wa mabeberu ila angekuwa Mwalimu Nyerere sasahivi ameshasema mbele ya vyombo vya habari kuisema UN kuwa ni kibaraka wa Marekani na sera yao ya mambo ya nje ni ya kimalaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…