Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

MAHUSIANO RASMI

ENDF Chief Receives Tanzanian Defense Force Chief​

1532


Addis Ababa, October 24/2023 (ENA): Ethiopian National Defense Force (ENDF) Chief of Staff, Field Marshal Birhanu Jula, has received Tanzanian People's Defense Force Chief General Jacob John Mkunda, who arrived in Addis Ababa to attend the 116th Army Day.

The 116th National Army Day will be celebrated at the national level with a variety of activities on Thursday.
Earlier today, South African National Defense Force Chief, General Rudzani Maphwanya, also arrived in Addis Ababa.

Upon their arrival, the chiefs were received by Field Marshal Birhanu Jula and discussed strengthening military relations between their respective countries and working together on training issues.
Chiefs of staff and military leaders of various African countries are also expected to arrive to attend the event.
During their stay in Addis Ababa, the chiefs will exchange experiences on bilateral issues and joint operations.
 
Generals and chief of land forces from Africa meeting in Arusha to discuss various security challenges facing the continent witnessed a military training exercise by the Tanzania People's Defence Forces in Monduli military academy in Arusha.


View: https://m.youtube.com/watch?v=OQffpwfVMsE
 
NIDHAMU, UZALENDO, PROFESSIONALISM NA WELEDI WA ASKARI WA TPDF / JWTZ

TANZANIA MILITARY ACADEMY (TMA) TUMEPIGA HATUA KUBWA¬


View: https://m.youtube.com/watch?v=UOZSP4Kqu5A&Kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Chuo ambacho kinafundisha Maafisa wanafunzi wa JWTZ, Brigedia Jenerali Jackson Jairos Mwaseba anaelezea Mafanikio yaliyofikiwa na Chuo hicho hivi sasa.

Akizungumza wakati wa Mahojiano maalumu ya Mafanikio ya Miaka 60 ya Uhuru, Brigedia Jenerali Mwaseba anasema Jeshi Kupitia TMA linajivunia kuwafundisha na kuwaandaa Maafisa Wanafunzi katika weledi wa hali ya juu Kijeshi ili kukidhi mahitajio ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.

Aidha, Mkuu wa Chuo hicho anaelezea Mafanikio ya Chuo katika kumudu kufundisha Kozi mbili kwa wakati mmoja CORE MODULES inayohusu kufundisha masomo yote ya Kijeshi kwa kuendesha Kozi ya Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Kijeshi pamoja na masomo ya kiraia FUNDAMENTAL MODULES ambapo Chuo hicho kinashirikiana na Taasisi zingine za kiraia kama Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) pamoja na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kilichopo Jijini Arusha.

Hata hivyo, Mkuu wa Chuo hicho Brigedia Jenerali Jackson Mwaseba amesema mipango ya baaaye ni kukifanya Chuo cha TMA kuwa Chuo Kikuu.

Tufuatilie pia kwenye mitandao ya kijamii Instagram, Facebook, YouTube na Twitter kwa Jina moja tu Wizara ya Ulinzi na JKT waweza kupata taarifa zetu pia kupitia website yetu www.modans.go.tz
 

Mkuu wa Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu Brigedia Jenerali Ghuliku Aelezea Mafanikio



View: https://m.youtube.com/watch?v=kHLiXkcsdcINchi ya Tanzania Mkuu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) Kilichopo Duruti Jijini Arusha Brigedia Jenerali Sylvester Ghuliku ameelezea namna ambavyo Chuo hicho kimepiga hatua katika utoaji Mafunzo ya Makamanda na Wanadhimu wa JWTZ pamoja na Majeshi mengine yanayohudhuria mafunzo chuoni hapo.Unaweza kutazama kwa urefu alichoongea kupitia YouTube Channel yetu ULINZI CHANNELTufuatilie pia upande wa Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la Wizara ya Ulinzi na JKT.
 
Mkuu nimeisoma na sijaona utofauti na nilichokuelezea mwanzo, Ubaguzi upo kwa maneno, mfano huyo dada anasema mtoto alimuuliza wewe ni Mweusi sababu ya Jua ama mweusi sababu umewekwa eneo lenye joto sana etc. Sikatai ubaguzi huu and let's be realistic upo dunia nzima ubaguzi wa Aina hii, mfano hapa Tanzania unaweza fananisha na huu msemo "mwarabu koko sukuma gari twende" vipo ni vitu vinakera ila sio vitu ambavyo vinashape maisha yako.

Nenda upande wa Pili sasa uone mweusi anafanywa nini, Anahasiwa, wanauliwa, kuna hadi maandamano weupe wanaandamana weusi wafukuzwe, its systematic kabisa.
 
Wadogo zake Shehe Mudi wanazidi kudhihirisha ujinga wao hapa.
Muulize babake Joshua kapelekwaa na nani huko na kwanini kapelekwa? Wenyeji wake walikuwa nani huko?
 
Mzee kasema wazi wazi wapo kambini, kambi yenye wanajeshi inaitwaje vile?

Serikali yetu mpaka kumfikisha hapo huyo mzee ina maana Tanzania ni washirika wa sirisiri wa vita ya kuwamaliza Wapalestina Ghaza.
 
Ushahidi Ni picha!!!
 
Dada Faiza,

Nakushangaa sana, Kwa nini usimlaumu Rais Samia mwenye Serikali unaenda kwa Makamba na Bashe? Wewe umekuwa ni mtetezi wa Waislamu katika jukwaa hili, hilo si baya kabisa, sasa unataka tusema Waislamu ni Wapuuzi? Rais Muislamu, Mawaziri uliowataja ni Waislamu! Unataka Kuhalalisha Waislamu ni wajinga na washenzi kiasi cha kuuza Watanzania wenzao? Kama Makamba na Bashe wamefanya hili, basi kuna mkono wa Rais Samia pia!

Be careful dadangu! Licha ya kudhaulisha Waislamu, pili unawafanya watu wengi wakadhani Waislamu wanauza vijana wa Kikristo Israeli , ukaleta chuki ambazo hazina msingi kabisa! Tunatofauti kwa mitazamo ya imani, lakini katika utofauti huo, usijaribu kutumia mambo ambayo huna hakika kabisa kuyaweka mtandaoni!

Kumbuka baadhi ya watu wanaoingia katika katika Jukwaa hili ni Maamuma kabisa, na Watanzania wengi ni Intellectually lazy, hawezi kufikiri hata kufanya utafiti kidogo tu, kujua upi mchele na zipi pumba! Wengine wanazivaa habari zozote mtandaoni kama ni kweli, hivyo tunayoyaandika humu kidogo tuwe tunatafakari madhara yake!

Vijana waliokwenda Israel taarifa za awali ni kwamba walikuwa 260, na ukichanganya walioko huko walikuwa kama 360, na hata walipopewa nafasi ya kurudi ni tisa tu ndio walikokubali! Wengine wamebakia huko huko!

Watu wamekwenda Israel muda mrefu na kurudi, nawafahamu watu wengi TISS waiosoma huko, na baadhi ya Watanzania katika nyanja mbali mbali, hivyo inabidi kuwa waangalifu mno

  • "Watanzania tisa wamerejea nchini leo ikiwa zimetimia siku nne tangu Serikali kuwataka wajiandikishe ubalozini ili warejee nyumbani kufuatia mapigano yanayoendelea baina ya Israel na kundi la Hamas."
Hii ni nukuu ya Watanzania waliorejea nchini, wengi wamebaki huko zaidi ya 360......
 
Kwenye jukwaa hili inastahili kuwa wakweli. Hebu tusaidie kueleza Nyerere alitaifisha viwanda na biashara ya akina nani.
 
Unaonesha hujausoam uzi vizzuri. Rudia kuusoma tena.


Halafu, huu uzi haumlaumu yeyote, huu uzi nimesema waseme ukweli, wanaujuwa. Nimewataja wote, Nimemtaja Bashe, nimemtaja Makamba na nimemtaja Mama Samia, kasome vizuri.


Unataka nikwamboie watakuja na jibu lipi? Au nisiwatowe raha, tusubiri serikali itasema nini?
 
Israel pigeni mabomu yote hayo mashetani ya Hamas.

Damu ya watanzania haitawaacha salama, wataishi kwenye mashimo kama panya mpaka wakome.

A good Palestiane is a dead one.
Kila siku huwa najiuliza wewe UNA ELIMU GANI? Ulisoma wapi? Ulilelewa wapi na nani ?
Ungekuwa una unatafuta maarifa kidogo usingeandika ujinga huu
 
Mbona hiyo ni picha ya zamani, 2011.
Na hao ni askari wa iDF kutoka Ethiopia..

Acheni kuokoteza habari mitandaoni na kuzitumia kwa propaganda.
 
Mbona hujazitaja hizo sehemu walizoishi wazungu.

Hizo sehemu ulizotaja juu huko, zote waliishi wazungu, tena Tanga ilikuwa makao makuu ya wajerumani. Singida walivyoondoka wazungu na reli wakang'oa, unalielewa hilo?
 

Antimatter: Mkuu niwewahi kuiona picha hiyo siku nyingi, lakini nimekutana na jamaa mmoja mapovu yanamtoka akidai hao ni Watanzania, ilikuwa kazi kubwa kumuelimisha, na ilishindikana! Watanzania wengi mno ni maamuma, akili za kufikiri ni zero! Huu ndio ukweli.
 
Na wewe vaa bulletproof uende Gaza halafu urudi utupe mrejesho

MKRISTO mjinga wewe
 
FaizaFoxy njoo uone pumba zako ulizopost sasa unaumbuka kabla Mwaka haujaisha.

Sifa Tatu za mnafki unazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…