Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Mayahudi wanawapeleka nyie chambo kwa njaa zenu, nenda na wewe ukawasaidie wajomba wa mungu wako.

Si unaona Bashe anawasaidia wayahudi wenzie.
Leo Bashe ni Myahudi? Chambo wamechukuliwa jamaa zangu wanne wawili toka Mtwara wakajitoe Mhanga... Usinitie majonzi kabisa... Leo naona umeamua tu kutuchokoza sisi watu waja. Astaghafilulah.... Sikutegemea ungeandika haya kutuchafua.
 
Unaonesha hujausoam uzi vizzuri. Rudia kuusoma tena.

Halafu, huu uzi haumlaumu yeyote, huu uzi nimesema waseme ukweli, wanaujuwa. Nimewataja wote, Nimemtaja Bashe, nimemtaja Makamba na nimemtaja Mama Samia, kasome vizuri.

Unataka nikwamboie watakuja na jibu lipi? Au nisiwatowe raha, tusubiri serikali itasema nini?

Unadhani serikali itasema chochote katika ujinga huu? Picha ulizoziweka ziko muda mrefu mitandaoni...Dadangu huwa naamini licha ya tofauti zetu za kidini hapa na pale, huwa naona uwezo wa akili (IQ) yako iko juu, sasa unapoingizwa mkenge na picha za mitandaoni kujenga hoja zako, unaanza kututia shaka! Unaweza kuwatetea Hamas kwa hoja nyingi tu, lakini si kwa upuuzi kama huu.

Sikubaliani na serikali ya CCM katika mengi, lakini najua haiwezi kupeleka vijana wetu Israel kwa ajili ya IDF, Hasa kwa sasa tukiwa chini ya Rais ambaye ni Muislamu, kiongozi wa TISS Muislamu, na Mawaziri wengi wa Kiislamu!

Nataka ukumbuke nchi ina mbumbumbu wengi tu, wanasubiri watu kama wewe, hata mimi ambao wanatuona tumeelimika na kuamini kila tunachokisema! Hebu angalia hoja nyingi juu ya vita hivi, ndani ya Jamii Forum tu! iko biased mno kutokana na imani! Na la kusikitisha mno, labda uwe umekwenda chuoni (Vyuo vikuu) nakuchukua history ya Middle East unaweza kuwa na la kuzungumza, wengi ni half truth kutoka Makanisani au Maimamu misikitini.

Waulize watu humu Jamii Forum kuhusu Balfour Declaration, Peel Commission, au nini kilitokea hasa baada ya kuanguka kwa Ottoman Empire ambayo ilitawala mahali hapo kama miaka 500! Au hata United Nations Partition Resolution 181 iliyotoa Two Sates Solution 1947 na Waarabu wali react vipi na Wayahudi kuamua kuunda taifa lao 1949, na hata UN Resolution 242 ya 1967 jinsi Waarabu na Israel walivyoitafsri, ambayo ndio kiini kikubwa cha mgogoro huo leo!

Watumishi wengi wa Kanisani na Maimamu msikiti hawajui haya ili kuwaeleza watu in more rational and logical way, ili hata kama wanajenga hoja wawe na wapi pa kusimamia! Wengi inabakia ni taifa la Mungu, au wengine watakuonyesha Charter ya Hamas ambayo ni purely Jihadistic, wako kutimiza Jihad ya Allah aliyewapa mahali hapo, na wengine kudai Israel iliundwa na Waingereza, na kusahau Jordan, Iraq, Lebanon zote zilitengenezwa na Mwingereza kipindi hicho hicho baada ya kuoanguka kwa Ottoman Empire!

Nakushauri wewe kama msomi aangali hoja za pande zote ( Kutoka kwa Wapelestina na Wayahudi) Ili uweze kujenga hoja, vitabu hivi kutoka Mwanazuoni Mpalestina na Myahudi, kila mmoja kajenga hoja zake imenisaidia mno na mimi kuwa na views zangu! ( Rashid Khalidi (Mpalestina) Na Benny Morris (Myahudi)

1703968815565.png

1703968883156.png
 
Leo Bashe ni Myahudi? Chambo wamechukuliwa jamaa zangu wanne wawili toka Mtwara wakajitoe Mhanga... Usinitie majonzi kabisa... Leo naona umeamua tu kutuchokoza sisi watu waja. Astaghafilulah.... Sikutegemea ungeandika haya kutuchafua.
Uyahudi unahusu nini? Sijakuelewa kabisa.
 
"You should know that spy is criminal.
To be an spy is very bad.
Under your case is death completely, sentenced.
This is I must make it absolutely clear.
If I found anybody is a spy, and any spy is found,
and anybody is coming in this country, see,
I want to see that everybody must be checked his Politics
for about three or five years, and if is found to be spy,
if is the case is firing squad.
He must be handed straight to military police,
must be dealt with military tribunal union, because the case of
spying is very serious.
Anybody found is a spy, his case must be dealt with , with military tribunal union.
Once is confirmed, even military tribunal union should not waste time
of making loooong... all day, discussing about one person,
who is a spy. Must be shortcut" - Idd Amin
 
Mbona hujazitaja hizo sehemu walizoishi wazungu.

Hizo sehemu ulizotaja juu huko, zote waliishi wazungu, tena Tanga ilikuwa makao makuu ya wajerumani. Singida walivyoondoka wazungu na reli wakang'oa, unalielewa hilo?
We ajuza hujii kitu, Kilimanjaro, Kagera, Mbeya, Iringa, Arusha, Mwanza, Morogoro kuna masikini kama hiyo mikoa?
 
Kwenye jukwaa hili inastahili kuwa wakweli. Hebu tusaidie kueleza Nyerere alitaifisha viwanda na biashara ya akina nani.
Kwenye viwanda mi sina ushahidi sikuwepo, nachosema alikubamtia waarabu, wasomali, wahindi na wazanzibar matokeo yake tumekuwa masikinni wa kutupwa
 
Unashauriwa angalao usome uamuzi uliobadilisha mwelekeo wa kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa letu, kwa kifupi Azimio la Arusha , kabla ya kutoa shutuma kali kiasi hicho.
 
Wameogopa wabongo msiuage mwili mkaja mkayatibua yaliyofichika.😁
Wazazi wake watakuwa wameenda kwa maslahi ya umma
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:

View attachment 2847132

Kama hii ni kweli, basi itakuwa ni water gates scandal ya bongo.
 
Jiulize, mzazi yupi toka Tanzania iwepo aliyewahi kusafirishwa na serikali kwenda kujionea ukweli wa kupotelewa au kufiwa? Na wanafunzi kuwepo nje ya Tanzania hakukuana leo wala jana, hata kwenye nchi za vita kama Russia na Ukraine wapo wanafunzi wa Tanzania, wapo waliokufa huko na wa[o waliopotea huko lakini hatukuwahi kusikia mzazi kasafirishwa huko au popote kule.

Labda wenzangu mmewahi kusikia.

Wala tusiumize vichwa kama nilivyosema nilivyoleta uzi huu, Bashe na Makamba wanaujuwa ukweli, wakuwauliza ni wao tu. Na sasa mama Samia anafahamu ukweli na wazazi wa Joshua wanfahamu ukweli A to Z.
 
Sanasana seriklai itakuja kusema hao walipelekwa kusomea kilimo waktorika wakaingia jeshini israel.

Kitu ambacho hakiingii akilini kama hakuna makubaliano ya kiserikali.
 
Cha kutisha, hao vijana ndiyo watakaokuja kuigeuka serikali ya Tanzania na kuwa ndiyo majasusi na wapika majungu wa mazayuni.

Wanapikwa huko na mazayuni kwa faida ya mazayuni. Myahudi hajawahi kabisa kuwa rafiki wa yeyote bila kuwa na maslahi nae. Ni nyoka kweli hao.
 
Faiza Vipi dadangu? Mbona kila kukicha nowdays unakuwa kama layman? Kuna Uhusiano wowote wa kimataifa usioongozwa au kusukumwa na Maslahi ya taifa husika? Unajua hata the basics za International relations theories?

Awe Mmarekani, Mwarabu, Mhindi hata Myahudi anapohusiana na sisi (Tanzania) ameisha ngalia nini atapata kutoka kwetu! Na sisi tunapotuma au tunapoanzisha mahusiano na taifa lolote lile, balozi na timu yake ni kuangalia fursa zipi ziko huko katika nchi husika kwa faida ya taifa letu!

Ni ujinga mkubwa naposikia kelele za Marekani inaangalia maslahi yake, sasa ulitegemea iangalie maslahi yako! Hivyo ni ujinga au kukosa ufahamu unaposema " Myahudi hajawahi kabisa kuwa rafiki wa yeyote bila kuwa na maslahi naye" Hujuliuzi baada ya mahusiano yetu na Uturuki, si unaona matokeo yake! Waturuki wako kila mahali mpaka dada poa! Utasemaje kuhusu uhusiano wetu na China......Nenda Kariakoo ndio utapata jibu.

Dunia ni nipe nikupe! Leta vijana wako wasome, kama wataingia IDF ( Siamini katika hilo) Hata wakijiunga Hamas ( Siamini katika hilo pia) Bado watakaorudi nyumbani na kuwa wataalamu!

Vijana wangapi wanapelekwa na serikali kusoma US, wanazamia! Serikali haijawapeleka wazamie huko! Inawezekana hata Israel.....kuna baadhi kwa matakwa yao wameamua kujiunga na IDF ( Ingawa siamini katika hilo pia)
 
Hilo unalosema wala siyo tatizo. Tatizo linakuja tunapojifanya hatufahamu vijana wako wapi na wanafanya nini, na waliokufa kwanini wamekufa. Rudi post namba moja, unisome kwa utulivu, wacha kukurupuka.

Haiingii akilini watolewe vijana 260, ambayo ni idadi ya ndege nzima kama iliyokwenda kuchukuwa vijana wa malawi, "what a coincidence!" eti kwenda kujifunza kilimo.

Tena tuelezwe waliondoka hapa ndege ipi na route yao ilikuwaje.
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Je Israel hakuna kilimo cha kujifunza? Tuanzie hapa.
 
Nadhani wengi hawajui mengi kuhusu Israel.....

Agriculture in Israel​

From Wikipedia, the free encyclopedia

Agriculture in Israel is a highly developed industry. Israel is a major exporter of fresh produce and a world-leader in agricultural technologies despite the fact that the geography of the country is not naturally conducive to agriculture. More than half of the land area is desert, and the climate and lack of water resources do not favor farming. Only 20% of the land area is naturally arable.[1] In 2008, agriculture represented 2.5% of total GDP and 3.6% of exports.[2] While farmworkers made up only 3.7% of the work force, Israel produced 95% of its own food requirements, supplementing this with imports of grain, oilseeds, meat, coffee, cocoa and sugar.[2][3]

Israel is home to two unique types of agricultural communities, the kibbutz and moshav, which developed as Jews from all over the world made aliyah to the country and embarked on rural settlement.[4] As of 2016, kibbutzim provided Israel with about 40% of its agricultural produce.[5]

Research and technology​

Main article: Agricultural research in Israel
Israel is a world leader in agricultural research and development, which has led to dramatic increases in the quantity and quality of the country's crops. The drive to increase yields and crop quality has led to the development of new seed and plant varieties, as well as to innovations such as a soil conditioner substance (vermiculite) which, when mixed with local soils, boosts crop yields, and drip irrigation.[2]

A very accomplished and well regarded agricultural geneticist in the country is Morris Soller.[32] Soller is mostly known for livestock genetics and crop genetics.[32]

Fruit and vegetables[edit]​

Israel is one of the world's leading fresh citrus producers and exporters,[20] including oranges, grapefruit, tangerines and a hybrid of a grapefruit and a pomelo, developed in Israel.[21]

More than forty types of fruit are grown in Israel. In addition to citrus, these include avocados, bananas, apples, olives, cherries, figs, plums, nectarines, grapes, dates, strawberries, prickly pear (tzabbar), persimmon, loquat and pomegranates.[22] Israel is the second leading producer of loquat after Japan.[23] Almond is also grown.[24]

In 1973, two Israeli scientists, Haim Rabinowitch and Nachum Kedar, developed a variety of tomato with slower ripening than ordinary tomatoes in a hot climate.[25] Their research led to the development of the world's first long shelf-life commercial tomato varieties.[26] This discovery transformed agricultural economics in Israel, promoting the export of the vegetables seeds and the move to high-tech farming.[27] It also had a global impact, enabling large-scale production through the prevention of spoilage. Previously, farmers were forced to discard 40 percent of their produce.[27]

The Tomaccio tomato was developed by Hishtil Nurseries, which conducted a 12-year breeding program using wild Peruvian tomato species to create a sweet snack tomato.[28]

Avocados are a major "money spinner" for Israeli agriculture, with almost half (45 per cent) being sold abroad
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....

The Boss:

Usilete vichekesho hapa.........Unajua Sector ya Kilimo ya Israel? Unajua Orodha ya Nchi zinazopeleka wanafunzi kusoma Kilimo Israel? Mbona tumekuwa tukipeleka Maofisa na Vijana toka TISS kwenda Israel na haikuwa shida....Ndio hao wa Kilimo....Watanzania kwa kupenda Conspiracies hatuko nyuma......!

From Wikipedia, the free encyclopedia

Agriculture in Israel​

Agriculture in Israel is a highly developed industry. Israel is a major exporter of fresh produce and a world-leader in agricultural technologies despite the fact that the geography of the country is not naturally conducive to agriculture. More than half of the land area is desert, and the climate and lack of water resources do not favor farming. Only 20% of the land area is naturally arable.[1] In 2008, agriculture represented 2.5% of total GDP and 3.6% of exports.[2] While farmworkers made up only 3.7% of the work force, Israel produced 95% of its own food requirements, supplementing this with imports of grain, oilseeds, meat, coffee, cocoa and sugar.[2][3]

Research and technology​

Main article: Agricultural research in Israel
Israel is a world leader in agricultural research and development, which has led to dramatic increases in the quantity and quality of the country's crops. The drive to increase yields and crop quality has led to the development of new seed and plant varieties, as well as to innovations such as a soil conditioner substance (vermiculite) which, when mixed with local soils, boosts crop yields, and drip irrigation.[2]

A very accomplished and well regarded agricultural geneticist in the country is Morris Soller.[32] Soller is mostly known for livestock genetics and crop genetics.[32]

A Light Unto the Nations​

Jewish National Fund-USA’s affiliate, the Arava International Center for Agricultural Training (AICAT) is sharing Israeli agriculture knowhow with farmers from developing countries, however, they are also empowering female entrepreneurs, as MATT ROBINSON found.
For people who have never been to Israel, their perspective of the Jewish State may only be derived from what they see on the news. This is especially true for citizens of certain countries that do not have diplomatic relations with Israel.

Since 1994, Jewish National Fund-USA’s affiliate, the Arava International Center for Agricultural Training (AICAT) has been bringing people from developing nations in Africa and Asia to Israel where they not only see for themselves that Israel is far from the country they see on the nightly news. Rather, they see a country that has made the desert bloom. And thanks to AICAT, they are also given the tools and support to use Israel’s agricultural and entrepreneurial secrets to benefit their own communities and countries.

AICAT MSc. Program 4th Cohort

Image: Students studying at AICAT in Israel's Arava region.

Graduates of AICAT come back to their home countries not as job makers, but as job creators.

According to Director Hanni Anon during a virtual session at JNF-USA's 2020 National Virtual Conference, the aim of AICAT is to expose over 1,000 students a year to agriculture in the Arava, and “empower them…turning them into farmers and entrepreneurs.”
 
Je Israel hakuna kilimo cha kujifunza? Tuanzie hapa.

A Light Unto the Nations​

Jewish National Fund-USA’s affiliate, the Arava International Center for Agricultural Training (AICAT) is sharing Israeli agriculture knowhow with farmers from developing countries, however, they are also empowering female entrepreneurs, as MATT ROBINSON found.
For people who have never been to Israel, their perspective of the Jewish State may only be derived from what they see on the news. This is especially true for citizens of certain countries that do not have diplomatic relations with Israel.

Since 1994, Jewish National Fund-USA’s affiliate, the Arava International Center for Agricultural Training (AICAT) has been bringing people from developing nations in Africa and Asia to Israel where they not only see for themselves that Israel is far from the country they see on the nightly news. Rather, they see a country that has made the desert bloom. And thanks to AICAT, they are also given the tools and support to use Israel’s agricultural and entrepreneurial secrets to benefit their own communities and countries.

AICAT MSc. Program 4th Cohort

Image: Students studying at AICAT in Israel's Arava region.

Graduates of AICAT come back to their home countries not as job makers, but as job creators.

According to Director Hanni Anon during a virtual session at JNF-USA's 2020 National Virtual Conference, the aim of AICAT is to expose over 1,000 students a year to agriculture in the Arava, and “empower them…turning them into farmers and entrepreneurs.”
 
Hilo unalosema wala siyo tatizo. Tatizo linakuja tunapojifanya hatufahamu vijana wako wapi na wanafanya nini, na waliokufa kwanini wamekufa. Rudi post namba moja, unisome kwa utulivu, wacha kukurupuka.

Haiingii akilini watolewe vijana 260, ambayo ni idadi ya ndege nzima kama iliyokwenda kuchukuwa vijana wa malawi, "what a coincidence!" eti kwenda kujifunza kilimo.

Tena tuelezwe waliondoka hapa ndege ipi na route yao ilikuwaje.

Faiza:

Why you are becoming irrational illogical as the days goes on! Huyu sio Faiza ambaye ulikuwa unaweza kujenga hoja! Au kuna mtu kaiba ID yako dada yangu......Je umejaribu kufanya utafiti hizo kozi za klilimo zimeanza kutolewa lini? Sio SUA tu hata taasisi nyingi za kilimo Tanzania! Nani kasema waliondoka siku moja! Maana kuna taasisi mbali mbali!

Kumbuka Tanzania sio wa kwanza kupeleka Kusoma Israel.......Je unajua TISS wala sio mbali kuna vijana walienda na huwa wanaenda Israel....Unajua waliondoka kwa ndege gani? Ukijua Ndege Itakusaidia nini......

Huyu ni Faiza mwingine kabisa.....Naona Vita vya Hamas vimeua kabisa ile akili yako niliyokuwa naiona humu....

Angalia Nchi nyingi zinazopeleka Israel kusoma......

Back
Top Bottom