Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Myahudi aje kufundisha kivipi? Vijana wanaoenda kule wanatoka SUA na wanaenda kwenye mafunzo kwa vitendo, mimi ndugu alikwenda akawa huko kwa karibu mwaka mzima. Walikuwa attached kwenye mashamba ya huko, kwamba wanapelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi ni hoja dhaifu mno.

Kama ni mafunzo ya kijeshi wanapelekwa wanajeshi wenyewe, sio wahitimu wa vyuo vikuu.

Vv
Asante kwa ufafanuzi murua kabisa, hii program ina miaka zaidi ya 10. Na lengo lake umeshalitaja, Israel ni mojawapo ya nchi zenye teknolojia ya juu kabisa kwenye kilimo na ufugaji, kuna wakati hata wanafunzi toka vyuo vya kilimo vya kati wameenda pia. Simuelewi bibi yetu anahoji kipi haswa
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:

View attachment 2847132
Punguza ujuaji, si lazima uonekane unajua kila kitu
 
Mbona hiyo ni picha ya zamani, 2011.
Na hao ni askari wa iDF kutoka Ethiopia..

Acheni kuokoteza habari mitandaoni na kuzitumia kwa propaganda.
Hili sakata limenifanya nizitambue bayana athari za udini, ukingalia wengi wanaong'ang'ana kulazimisha kuwa hao vijana ni wanajeshi ni watu ambao wana misingi ya kiislamu.

Mtu anaamua kufumba macho na kuleta ushahidi wa uongo ili iwe nini?
 
Hamas sio wakatili kihivyo wanajua mengi kuliko.
Kilichomponza mollel ni kuvaa bukta ya kijeshi
 
Unazeeka na kuzidi kuwa mjinga, siku zote hizo usiandike huu ujinga wako wa kizee hapa, umeukumbuka leo ili kuwafichia siri hao ndugu zenu mashetani katika imani.

Kwani ni mara ya kwanza wanafunzi wa kitanzania kwenda kujifunza nje kwa makundi? kwanini huko kote msiseme wazungu walete watu wao kuja kuwafundisha? hujawahi kuona Tanzania na nchi za nje tukibadilishana wanafunzi?

Jinga wahed.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app[
Katazame picha vizuri post namba moja? Kunahitajika kitambulisho hapo?

Halafu hapa haongelewi Hamas, uliona katajwa Hamas sehemu? Kasome tena uzi namba moja usichanganye mada kwa kujifanye huelewi unachokisoma.
Tulia lea wajukuu, batch ya mwaka huu imetokea bahati mbaya imekuta katika hilo kanga, hii program si ya jana wala leo
 
FaizaFoxy asipuuzwe kwenye hili. Vijana 260 kujiendeleza/kusomea kilimo specifically?
Anapaswa kupuuzwa kwa kiwango cha juu sana, kilimo ni fani kubwa sana si kulimia na kuvunia tu inaenda mpaka kwenye food processing, nutrition n.k. Mwambie alee wajukuu, si lazima ujue kila kitu. Hii program imeanza nadhani makamba alikuwa bado chuo, Bashe yawezekana alikuwa bado Somalia
 
Sasa huo mwili si usafirishwe uje kuzikwa ya nini kupeleka wazazi huko Israel?
 
Ushahidi uutakao mimi sina, nilionao ndiyo huo, sasa kuwa wakala wa Makamba na Bashe uijibu post namba moja.
Yaani wewe na exposure yako kubwa uliyonayo unaleta huu upumbavu. Ukiruhusu uwezo wako wa kufikiri ukatawaliwa na Imani ya dini, itikadi ya kisiasa, unakuwa huna tofauti na sisi walevi wa kangara na pombe chafu
 
Waulize Bashe, Makamba na mama Samia, vijana wa Kitanzania wanafanya nini Israel?
 
Huna akili wewe bado akili yako haijakuwa, kwani hakuna wanaofundishwa mafunzo ya jeshi huko ?
Halafu mnajifanya mna huruma sana kwa hao vijana ila mtanzania anapochomwa moto kisa kaiba yeboyebo unachekelea
Wewe ndio shetani unaona police anachukua rushwa ya 10.000 analiachia bus lenye tairi kipara,linaenda kuuwa watu mbele halafu report inaandikwa break na nyie mnaona sawa tu

Akili matope eti unajifanya una huruma sana
Nani kaongelea mabaya ya vijana au unajishuku tu kwa chuki ya udini
Haya kasherehekee hii View attachment 2847490
Wewe nae Punguza ujuaji
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel

Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:

View attachment 2847132
Akija myahudi hapa Tanzania hao vijana watapataje malipo na Elimu kwa vitendo na issues nyingine? Mimi mwaka flani nilipata nafasi ya kwenda Libya kusoma zaidi Quran na Dini. Sikusema waje watufundishe hapa.

Sikwenda tu sababu kuna sifa ziliniangusha lakini nawafahamu watu watatu ambao walienda na wamerudi wapo vizuri sana kwenye Ilimu akhera. Kuna mambo wala tusiyakuze. Bashe na January ni Waislamu safi. Na Samia pia. Msitake kuwachafua. Tusije onana wabaya hapo baadaye. Nakutadharisha tu.
 
Back
Top Bottom