Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Baba'ke Joshua karudi muulizeni wenyeji wake walikuwa nani?
Unaamisha magoli, zile picha ulizopost kupotosha watu sasa unaumbuka.

Uungwana ni kuomba radhi jukwaa na siyo kushupaza shingo, maana ulipotosha jukwaa Kwa makusudi.
 
Asante kwa ufafanuzi murua kabisa, hii program ina miaka zaidi ya 10. Na lengo lake umeshalitaja, Israel ni mojawapo ya nchi zenye teknolojia ya juu kabisa kwenye kilimo na ufugaji, kuna wakati hata wanafunzi toka vyuo vya kilimo vya kati wameenda pia. Simuelewi bibi yetu anahoji kipi haswa
 
Punguza ujuaji, si lazima uonekane unajua kila kitu
 
Hili sakata limenifanya nizitambue bayana athari za udini, ukingalia wengi wanaong'ang'ana kulazimisha kuwa hao vijana ni wanajeshi ni watu ambao wana misingi ya kiislamu.

Mtu anaamua kufumba macho na kuleta ushahidi wa uongo ili iwe nini?
 
Hamas sio wakatili kihivyo wanajua mengi kuliko.
Kilichomponza mollel ni kuvaa bukta ya kijeshi
 
 
FaizaFoxy asipuuzwe kwenye hili. Vijana 260 kujiendeleza/kusomea kilimo specifically?
Anapaswa kupuuzwa kwa kiwango cha juu sana, kilimo ni fani kubwa sana si kulimia na kuvunia tu inaenda mpaka kwenye food processing, nutrition n.k. Mwambie alee wajukuu, si lazima ujue kila kitu. Hii program imeanza nadhani makamba alikuwa bado chuo, Bashe yawezekana alikuwa bado Somalia
 
Sasa huo mwili si usafirishwe uje kuzikwa ya nini kupeleka wazazi huko Israel?
 
Ushahidi uutakao mimi sina, nilionao ndiyo huo, sasa kuwa wakala wa Makamba na Bashe uijibu post namba moja.
Yaani wewe na exposure yako kubwa uliyonayo unaleta huu upumbavu. Ukiruhusu uwezo wako wa kufikiri ukatawaliwa na Imani ya dini, itikadi ya kisiasa, unakuwa huna tofauti na sisi walevi wa kangara na pombe chafu
 
Yaani wewe na exposure yako kubwa uliyonayo unaleta huu upumbavu. Ukiruhusu uwezo wako wa kufikiri ukatawaliwa na Imani ya dini, itikadi ya kisiasa, unakuwa huna tofauti na sisi walevi wa kangara na pombe chafu
Waulize Bashe, Makamba na mama Samia, vijana wa Kitanzania wanafanya nini Israel?
 
Wewe nae Punguza ujuaji
 
Akija myahudi hapa Tanzania hao vijana watapataje malipo na Elimu kwa vitendo na issues nyingine? Mimi mwaka flani nilipata nafasi ya kwenda Libya kusoma zaidi Quran na Dini. Sikusema waje watufundishe hapa.

Sikwenda tu sababu kuna sifa ziliniangusha lakini nawafahamu watu watatu ambao walienda na wamerudi wapo vizuri sana kwenye Ilimu akhera. Kuna mambo wala tusiyakuze. Bashe na January ni Waislamu safi. Na Samia pia. Msitake kuwachafua. Tusije onana wabaya hapo baadaye. Nakutadharisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…