Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Hebu pitieni hapa muone Status ya Mwafrika huko Palestina.👇


View: https://youtu.be/YCY_Vwyqqww?si=bo13ygZKUXwFzTGX
Wapalestina wanawaita Waafrika Waisilamu wenzao Al Abidi huko Gaza.

Ewe Mwisilamu wa Mbagala Dini isikuzibe macho

Sina maana kuwa Israel hakuna ubaguzi upo.

Mwafrika tetea Waafrika kwanza.

"Al Abidi" ni Mtumwa katika lugha ya Kiarabu.
 
JKT ni wazo la Israel Ujue!
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Okey tuseme "there is more to the story"

Au tukubali ni kweli walipelekwa kwenye jeshi la Israel kama program ya kupata mafunzo zaidi kama Tanzania inavyopokea wageni au sisi tunavyopeleka wanajeshi katika mataifa mengine

Je, inahalalisha kifo cha hao watanzania na hasa huyo ambaye alifariki bila silaha wala uniforms rasmi za jeshi la Israel ??....

Hata hivyo wacha niwaache wafu mzikane 🙏🏽
 
Jeshi la israel na taasisi zingine kama immigration,polisi n.k kuna waafrika wengi tu hasa waethipia na waeritrea,na si kama eti wanawachukua chukua tu kama unavyoaminisha watu hapa,uwa wanakua raia wa israel kabisa
 
Uwe jeshini Israel halafu useme wanateketea bila hatia?

Una akili kichwani au kwenye masaburi?
Mbona unaleta ukinzani katika mabdandiko yako mwenyewe? Mara useme wakina Makamba na Bashe ndio wanafahamu mara utoe conclusion kwamba raia wa Tz wanahusika katika vita, kipi hicho unachokisimamia?
 
Kabla ya Israel kuingia kwenye awamu hii ya vita na Hamas, mchakato ulikuwepo uliopeleka vijana wa kitanzania sio TU Israel lakini pia Marekani. Kama ilivyoada pongezi[emoji122][emoji122][emoji122]zilikuwa nyingi. Inawezekana wengine Bado wapo huko . Baada ya mauaji tumewageuzia kibao Bashe na Makamba (ambaye amekuta mchakato nilioufahamu 2019). Tuache unafiki
 
Haijalishi.

Tunataka kuelewa walipelekwa jeshini au kujifunza kilimo?
 
Kwa hao vijana, kama ni kweli Watanzania, kuwepo jeshini Israel maana yake Tanzania imechaguwa upande na ipo vitani rasmi.

Tusidanganyane kuwa atanzania haifungamani na yeyote.
Vijana wawe jeshini Israel halafu Hamas wawakute nje ya mji wakiwa peke yao? umeona vitambulisho vyao vya jeshi?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi hauongelei Hamas, usome vizuri.

Nyuzi za Hamas zipo kibao, jukwaa la Kimataifa, hapa tunaongelea siasa yetu ya Tanzania na vijana waliopelekwa Israel, wamepelekwa kujifunza kilimo au wamepelekwa jeshini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…