TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
[emoji2][emoji4][emoji3]Nakumbuka kuna kitambulisho cha Bavichaaa kiliokotwa Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji4][emoji3]Nakumbuka kuna kitambulisho cha Bavichaaa kiliokotwa Ukraine
Huwa sikisii, jifunze kutumia google utapata majibu:Una uhakika mama?
Watu kutoka nchi moja kwenda kupata mafunzo ya kijeshi kwenye nchi nyingine siyo kosa kisheria, narudia tena siyo kosa kisheria. Nchi karibu zote duniani zina utaratibu na mipango ya namna hii. Kosa linakuja pale ambapo Askari au Mwanajeshi kushiriki ktk Operesheni haramu ya kijeshi kwa mujibu wa Sheria za Jeshi au Sheria za Vita. Hata hapa Tz hivi sasa wapo Wanajeshi kutoka Mataifa mengine ambao wanapata Mafunzo ya Kijeshi ktk Vyuo Mbalimbali ya Kijeshi.Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.
Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimi tunavyo?
Kuna siri hapo na Bashe pia inaijuwa.
Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel
Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:
View attachment 2847132
NIlitaka kuifuatilia lakini baada ya kuona id ya mwandishi naipotezeaTusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.
Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimi tunavyo?
Kuna siri hapo na Bashe pia inaijuwa.
Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel
Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:
View attachment 2847132
Kwani wale vijana waliouawa kwenye tamasha la mziki hawakuwa raia? Acheni ushamba wa kijingaNilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa atakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.
Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimi tunavyo?
Kuna siri hapo na Bashe pia inaijuwa.
Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepekwa pia kufundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wwengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel
Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii:
View attachment 2847132
RostaAziz yupi huyo? Mimi nawahamu Aziz wengi, weka jina lake moja tukupe uchambuzi.
Mbona unaogopa ogopa, sema tu Rostam Aziz.Rosta
Kibibi kizandiki hiki.HIyo picha hao ni Wafalasha mura.
Punguani wanapojifanya wenye akili. Ajabu kweli!!Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....
Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....
Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Mwambie asijifanye mjuaji sana kwani raia wa kigeni wameua WaTZ tu? Hebu tusijifanye sana tunajua mambo ya watu ! Kijana kaenda huko mwezi mmoja tu kauawawa video iko wazi sana …awaambie basi wamtafsirie ile video ! Familia ina maumivu makali sababu ata maiti hawajui Ilipo tusiwape maneno yatayoongeza maumivuNilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
Wale walienda kabla ya shambulio la kushtukiza. Mbona wanaopelekwa uarabuni uhausigel na uuguzi hamjasema wanaenda kwenye masuala ya jeshi. Picha zenyewe za kuchonga
Jeshi la Israel hawana sare ya vile sio kila jeshi lina sare ya "mabaka mabaka" kwani yale mabegi , kofia,fulana n.k TPDF waliyowapa siku 30 mkasalimishe kwa hiyari wote walionunua walikuwa wanajeshi.?Nimeelewa kwa nini Molel alionekana amevaa kaptula ya kijeshi,naanza kuelewa kwa nini awali taarifa zaidi hazikutolewa.
Mtatumia nguvu kubwa sana kuutetea ugaidi kwa hoja za kipumbavu sana.Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....