Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Watu kutoka nchi moja kwenda kupata mafunzo ya kijeshi kwenye nchi nyingine siyo kosa kisheria, narudia tena siyo kosa kisheria. Nchi karibu zote duniani zina utaratibu na mipango ya namna hii. Kosa linakuja pale ambapo Askari au Mwanajeshi kushiriki ktk Operesheni haramu ya kijeshi kwa mujibu wa Sheria za Jeshi au Sheria za Vita. Hata hapa Tz hivi sasa wapo Wanajeshi kutoka Mataifa mengine ambao wanapata Mafunzo ya Kijeshi ktk Vyuo Mbalimbali ya Kijeshi.
Aidha, Sheria za Vita zinazuia kuua Raia au watu wasiokuwa na silaha katika maeneo ya vita. Lakini pia, Wanajeshi wenye silaha waliopo vitani hawaruhusiwi kuuawa endapo kama watajisalimisha kwa Majeshi pinzani, badala yake wanatakiwa kuchukuliwa Mateka (Mateka wa Vita).
Turudi kwenye hoja yako, huyo Mtanzania aliyeuawa huko Israel na Wanamgambo wa Hamas, Je, alistahili kuuawa hata kama alikuwa Mwanajeshi? Je, Alikuwa ana silaha na alikuwa anapambana na hao wanamgambo wa Hamas wakati alipokamatwa?Video zinaonyesha kwamba wakati alipokamatwa na hao Wanamgambo wa Hamas, kijana huyo hakuwa na silaha yoyote, sasa ni kwa nini hao wapiganaji waliamua kumuua???
 
NIlitaka kuifuatilia lakini baada ya kuona id ya mwandishi naipotezea
 
Nilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
Kwani wale vijana waliouawa kwenye tamasha la mziki hawakuwa raia? Acheni ushamba wa kijinga
 


Mjinga mmoja wee, ulojazwa Upuuzi wa dini ya kigaidi.
 
Uwezi jiunga jeshi la Israel kama wewe sio Jew. Wanajeshi weusi huko ni Ethiopia wenye Jewish background.

Vinginevyo Jewish popote duniani unaweza kupeleka jina lako hata kama sio raia.

Tafuta picha ya mwanajeshi mweusi wa Israel zaidi hao wawili (ukitoa waabesha), sidhani kama utapata.
 
Mbona unaogopa ogopa, sema tu Rostam Aziz.


Huyo usicheze nae kabisa, ndiye Master Spy. Anacheza kotekote huyo.

Dunia hii kama kuna mtu wa kumuogopa, basi ni huyo.

UWT wanamheshimu na kumuogopa kuliko mtu yeyote ulimwengu huu.

Hata mwendazake na kelele zake zote na kujimwambafai kote, alipokuja kuijuwa kaliba ya huyo mtu, alinywea.

Unaposikia anaitwa "King Maker" usifikiri ni utani, ni "King Maker" kweli kweli huyo.
 
Dunia kwa sasa kiganjani.

Hao sio watanzania ni wahabeshi ambao walihamishiwa Israel miaka hiyo kulipotokea njaa .

Wametengewa nafasi chache kwenye majeshi ya Israel , ukimuona mweusi yoyote jeshini Israel 100% ni asili ya hao wahabeshi

Picha pia ni ya 2011 , nimefanya search kwa google lens na kufanya exact match.

Get your facts right next time.

Kwa kuwaangalia tu pia at least wahabeshi wanafanana na watu wa Eritrea. Ni mbali sana na Tanzania
 
Nimeelewa kwa nini Molel alionekana amevaa kaptula ya kijeshi,naanza kuelewa kwa nini awali taarifa zaidi hazikutolewa.
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Punguani wanapojifanya wenye akili. Ajabu kweli!!
 
Nilikua naongea na jamaa wa middle east akasema, Hamas hauwi raia wa kigeni tena akashangaa, akasema lazina kuna kitu amekijua juu ya huyo, HAIWEZEKANA
Mwambie asijifanye mjuaji sana kwani raia wa kigeni wameua WaTZ tu? Hebu tusijifanye sana tunajua mambo ya watu ! Kijana kaenda huko mwezi mmoja tu kauawawa video iko wazi sana …awaambie basi wamtafsirie ile video ! Familia ina maumivu makali sababu ata maiti hawajui Ilipo tusiwape maneno yatayoongeza maumivu
 
Wewe bibi serikali ilipoteza pesa kukupeleka CA bure!

You are reasoning like a kindergarten drop out.

Uliwahi kuona wapi watu wamefika nchi ya ugenini ambayo hawana asili/unasaba wa kuzaliwa wakawa drafted kwenye jeshi kuu la nchi?

Hao tu kama mdau hapo juu alivyokuumbua kuwa ni picha 2011 umeokoteza huko hujafanya fact cheking huyo umeibwaga humu.

Udini utakuua, unashabikia vita huku umekaa kwenye kochi unacheza baishoo na wajukuu really? Wewe hata mshale tu ukishikiwa mkojo ushashuka maana urethral sphincter zishalegea.

Ulianza na hoja hao vijana wanaenda Israel kusomea nini mara nchi hiyo haina lolote kwani wewe na usomi wako huo hujui kitu kinaitwa exchange programs? watu wameenda nchi hiyo imekuwa shida mbona husemi wanaoenda Oman, Bahrain kama watenda kazi za ndani na wakifika ni manyanyaso na pasi za kusafiria zinachukuliwa?

Msanifu majengo Marehemu Beda Amuli aliyesanifu soko la Kariakoo , shahada yake aliichukulia Israel miaka ya 1960's .

Mimi sipendi vita na vita hii inachochewa na utapeli wa hizi dini mbili kila mtu anajiona yuko sawa na mteule kukalia kipande hicho cha ardhi.

Karl Max alishasema mfia dini hana tofauti na mraibu wa dawa za kulevya , ndio hichi kinachokuponza yani mbongo mwenzetu anauwawa wewe unasema alijiunga jeshini? You should be ashamed of yourself.

Jipange bibi uongo karne ya 21 ni aibu kwa umri wako kachezee na wajukuu na vitukuu.
 
Wale walienda kabla ya shambulio la kushtukiza. Mbona wanaopelekwa uarabuni uhausigel na uuguzi hamjasema wanaenda kwenye masuala ya jeshi. Picha zenyewe za kuchonga

Hivi huyo bibi FaizaFoxy, naye ni wa kumtilia maanani? Yeye huwa anaropoka chochote alimradi ana uwezo wa kuropoka.

Akili kama hukuzaliwa nayo wala usitarajie utakuja kuipata baadaye. Ndiyo maana unawaona watu kama hawa hata katika uzee wao, hekima, busara, tafakari na uwezo wa akili kuchambua mambo, ni hakuna.
 
Nimeelewa kwa nini Molel alionekana amevaa kaptula ya kijeshi,naanza kuelewa kwa nini awali taarifa zaidi hazikutolewa.
Jeshi la Israel hawana sare ya vile sio kila jeshi lina sare ya "mabaka mabaka" kwani yale mabegi , kofia,fulana n.k TPDF waliyowapa siku 30 mkasalimishe kwa hiyari wote walionunua walikuwa wanajeshi.?
 


Ushaanza kibibi wa dini, yaani wewe kizee ulivyo na tabia mbovu huna aibu wala haya, hao vijana walienda kwa ajili ya mafunzo ya vitendo ya kilimo na si mara ya kwanza Watanzania kwenda Israel na kujifunza kilimo cha kisasa:

Hapa unataka kuaminisha watu kuwa hao vijana walienda kujiunga jeshi la Israel, huo ni uongo mkubwa na hizo picha za kutengeneza na iko wazi, hivyo kwanza katika kipindi hiki kigumu wewe unaleta umbea humu, nadhani serikali inabidi ikusake ueleze huu uongo unatoa wapi.

Wizara ya habari, mtafuteni huyu kibibi ayesambaza uongo na umbea kisa picha za kutengeneza, inafaa utafutwe, alafu Jamhuri ikufungulie mashtaka juu ya upotoshaji mkubwa huu.

Hivi, kwa awamu ya Serikali ya awamu ya 6, ifanye huu upuuzi eti iwapeleke jeshi huko Israel? Kwanini umbea unasambaza mitandaoni wewe kizee? Mh. Nape tusaidie, hii sio sawa. Kisa unawa support Hamas, ndio unapindisha habari na kutaka kutuambia watanzania wenzetu wameuawa sbb walikuwa wamejiunga na jeshi la IDF, kwanza huu upotoshaji adhabu yake ni kali sana, huwezi kuamka na kuanza kujitungia tu story za uongo kuleta taharuki kwa public na serikali kwa ujumla kwa jambo la uongo, kisa unashabikia Hamas, huku ukijua Watanzania wenzetu wameuawa kinyama na magaidi, bila hata kuwaza, unaanza kupotosha.

Mh. Nape, hii ndio kazi yako tafuta mtu kama huyu, hawa aeleze anajua nini, akishindwa kudhibitisha, jela ipo, itakuwa funzo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…