Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Niliposema ni special mission kuna mafala hata hilo neno hawalijui
Ila waliopitia hii wizara wanajua
Kuna mtu aliuliza huwa wanafanya nini huko

Haya sasa tulikuwa tunagusia gusia yako wapi sasa
 
Body appearance, face structure 70% hawa. Vijana kama sio wanyarwanda, eritreA au ethiopia.

Hizo taarifa umzipata wapi?
 
Katazame na post #107 uje useme na hao je?
 
Hao ni Raia wa Israel asili yao ni Ethiopia Faiza anataka kuzusha tu na kuzua taharuki.
Sizushi kitu, kanisome nilichokiandika post namba moja.

kwani ile video inayosema Mtanzania anauliwa hukuiona?
 
Kuna wengine wanakwrnda kuwa manurse Uarabuni ambako matukio ya unyanyasaji kwa watanzania yako juu! Kama kuna mzazi atamruhusu mwanae aende uko ntamshangaa sana…
 
Hao ni Raia wa Israel asili yao ni Ethiopia Faiza anataka kuzusha tu na kuzua taharuki.
Mkuu heshima yako
Wapo vijana wetu huko na nchi nyingi tu za Africa wakifundishwa mafunzo ya kijeshi na martial arts ya Israel inayoitwa Krav Maga
Wizara yao ya Ulinzi pia inaandika sana tu haya wala sio siri duniani ila sisi kila kitu wanaficha
 
Vipi wale wanaochukuliwa kwenda uarabuni na kuwa vijakazi wa ndani mwisho tunaona clip wakikinga mdomo huku mwarabu anamnyea tuseme nini?
 
Uwe jeshini Israel halafu useme wanateketea bila hatia?

Una akili kichwani au kwenye masaburi?
Wewe ni mpumbavu. Aliyekuambia hao vijana walikuwa Israeljeshini ni nani?

Naona kuna wendawazimu wenzako humu wanakuunga mkono kwenye upunguani wako

Wamalawi wameuawa na hayo magaidi ya Hamas. Kuna waafrika Kusini wameuawa na hayo magaidi. KUNA warusi, wanepali, wafaransa, na wengine wengi, je, hao wote walikuwepo jeshini Israel?


AFRICA

South Africans, Tanzanians, Others Killed, Abducted or Missing After Hamas Attack

A U.S. State Department spokesperson that addressed media on Sunday said at least 30 Americans were killed amid the ongoing attacks by Hamas.

13 others remain unaccounted for, the U.S. spokesperson added.

The French official said 19 nationals were killed and 13 remain missing, resulting from the Hamas attack.

Other nations including Russia, Nepal and Argentina have reported the death of their citizens resulting from the conflict in Gaza.
 
Tupe link tukasome na tumone joshua mollel akifundishwa hapo la sivyo ni ujinga na utahira na monopause ya kushabikia dini iliokuja na majahazi
 
Wataalamu wa website embu tazameni hiki ni nini?

Kwanini unaamua dini ikuendeshe hivyo?
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Umetoa hitimisho kwa hizo picha zilizotumwa na faiza foxy? Na Hao sio watanzania walio kufa ambao walienda kwa ajili ya kujifunza killimo ila umesikitisha san
 

Ethiopia november 2011 hi-res stock photography and images - Alamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…