Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Naomba mtu aandike static.timeofisrael.com

Halafu rudi hapa uone kinachoandika,

Nyie huyu bibi ni muongo yaani anatumia nguvu nyingi mpaka nashangaa kwann
 
Mbona sasa Hamas imewachukua muda mfupi tu kuingia Israel na kufanya mauwaji ya Wanajeshi na Raia?

Hamas imethibitisha kuwa IDF si lolote.
 
Bora hata wee dada umeweza kuwahoji mm nimewauliza watu huko Twitter kulikonk huyu mzazi anakwenda kufanya na itasadia nn

Niliishia kutukanwa
 

Israel imekuwa ikiisaidia Tanzania tangu kale. Ni Israel ndiyo ilitujengea chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Israel imemuwa imitoa mafunzo katika fani ya kilimo na tiba kwa mataifa mengi ya Afrika.

Hayo magaidi ya Hamas Hizbollal, Alshabab, IS na Boko Haram, mchango wao katika ulimwengu huu ni mauaji tu.

Magaidi ya Kibiti, naona yanajitahidi kuyasifia magaidi menza. Lakini wajue kuwa Ulimwengu wa Wastaarabu, hautayaacha yatambe. Yameua wasio na hatia 1,000; yatalipia kwa 50,000.
 
Hiyo picha uliyoiweka haina uhusiano na vijana wa kitanzania.

Hao ni wale waethiopia wenye asili ya kiisraeli.

Acha uongo wewe bibi.
 
Vipi wale wanaochukuliwa kwenda uarabuni na kuwa vijakazi wa ndani mwisho tunaona clip wakikinga mdomo huku mwarabu anamnyea tuseme nini?
Hao ni tofauti kabisa na hawa wanaoenda kufundishwa namna ya kuuwa
Wote wanapelekwa na serikali na hili swali ungeuliza kwa wahusika waliowaombea ajira za kwenda huko
Kama walienda kufanya kazi za ndani na badala yake wakafanyiwa unyama huo na imethibishwa kuwa ni watz basi ni jukumu la serikali kuwarudisha
Sisi tunajadili tu kuhusu Hao wajeda na sio vijakazi kwa sasa
 
Bora hata wee dada umeweza kuwahoji mm nimewauliza watu huko Twitter kulikonk huyu mzazi anakwenda kufanya na itasadia nn

Niliishia kutukanwa
Kuhoji ili upate jibu ni sawa ila kutengeza majibu ya uongo na picha za kuokota kuhalalisha uongo wako hii siio sawa
 
Gaidi lazima atumie nguvu kutetea magaidi wengine. Ugaidi ni imani.
Yaani nashangaa sana mkuu!

Jana alikuja mmoja akaleta picha ya mtu anaonekana kavaa nguo za jeshi akisema kwamba ni joshua mollel.

Yaani unabaki unacheka ni kama zile picha unajiedit upo na messi nyuma kuna daraja la salendar.

Hawa watu akili zilishatafunwa!
 
Mbona sasa Hamas imewachukua muda mfupi tu kuingia Israel na kufanya mauwaji ya Wanajeshi na Raia?

Hamas imethibitisha kuwa IDF si lolote.
IDF wanajisifia wao na marafiki zao kuwa wana jeshi balaa ila hamna lolote na hamas wamewaweza sana
 
Kwenye suala la udini network ya bibi iko vizuri.

Yeye hataki vijana wasome ujasusi huko Israel. Anataka waende madrasa Iran
 
Enzi zile kabla ya vita havijaanza ilikuwa ni siri kubwa na tusingejua chochote.
Hao wakirudi watakuwa na nyoyo za kikatili sana.Watapiga wapinzani na kila mtu atakayepingana na fikra za kiyahudi.Waislamu wataendelea kupotea bila kujulikana walikopotelea.
Kwa ile picha iliyosambazwa jana.Inaonekana alikuwa akijibu vibaya.Upande wa pili mmoja alikuwa akiuliza sana wenzake.Kuna nini؟ .yaa shabaab.bleesh يا شباب بلى شرء
 
Ila wapo wanaofunzwa kijeshi huko Israel hilo tunalijua
 
alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?
Ulitaka wasisome ujasusi kwa mzayuni waende kusoma madrasa Iran?
 
gaidi ni gaidi tu. ni kwamba unaweka hizi picha za wayahudi wa kiethiopia ili dunia iamini kwamba wale vijana walipelekwa kule kijeshi? BAshe ambaye ni msomali swala tano, makamba naye hivyo, mama samia naye hivyo, kwamba wangefanya hivyo? haujui kwamba walienda Israel kujifunza kilimo kwa vitendo kwenye mashamba ambayo tayari yapo? haujui kuwa Israel iligeuza jangwa likazalisha mazao yote unayoyajua hapa duniani wakati waarabu waliowazunguka bado wanachamba kwa kutumia mchanga jangwani hawana uwezo kulima chochote? wewe ni mjinga sana na umelaaniwa. jaribu kuwa na utu walau kidogo basi. mzazi wa Joshua anaenda Israel sio kwa msaada wa serikali yako ya kina makamba na bashe au yeyote, serikali yako masikini imeshindwa kusaidia kuokoa yeyote. Ubalozi wa Israel Kenya ulikuja Arusha na wao ndio wametoa hiyo offer. Ukiangalia ile clip ya Joshua na ile ya Clement wote walikabidhiwa baiskeli na wameuliwa wakiwa na baiskeli walizokuwa wanatumia mashambani. hivi mlipeleka wapi utu ninyi? kwanini mioyo yenu imejaa mashetani na roho mbaya kiasi hicho? kweli unataka kutwist hii issue ionekane wale vijana waliuliwa kwa halali kwa kuwa walikuwa wanajeshi? shida hata kutwist hauwezi kwasababu kichwani empty, unaujua ubwabwa na uuaji tu hakuna elimu wala akili.
 
Jeshi linaprogramu ya kuwa na mafunzo ya pamoja hilo ni jambo lla kawaida ila huu uongo wa faiza foxy hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…