Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Haijalishi.

Tunataka kuelewa walipelekwa jeshini au kujifunza kilimo?
Jeshi la wapi wewe mpumbavu? Hizo picha unazotaka kutuaminisha hao sio watanzania hao ni wafalasha wa Ethiopia.
Mtu utoke SUA uende moja kwa moja katika jeshi la Israel!!!
Wanajeshi wana training zao na kila mwaka Tanzania inapeleka Wanajeshi wake nchi mbalimbali kwa ajili ya mafunzo.
Unaleta propaganda za kijinga ili kuaminisha joshua mollel alienda vitani..
Mtu mzima wa ovyo sana wewe
 
Kwani kuna shida wanafunzi wakienda kusoma Israel? Mbona walikuwa wanaendaga tangu zamani? Wakati wa Munich Olympic, 1972 kama sikosei waarabu waliua watu huko, haina maana kuwa watu wasiende olimpic, hizo ni incidents chache tu. Ukiogopa hivyo mbona utaogopa kutoka hata ndani kwako?
 
Jeshi la wapi wewe mpumbavu? Hizo picha unazotaka kutuaminisha hao sio watanzania hao ni wafalasha wa Ethiopia.
Mtu utoke SUA uende moja kwa moja katika jeshi la Israel!!!
Wanajeshi wana training zao na kila mwaka Tanzania inapeleka Wanajeshi wake nchi mbalimbali kwa ajili ya mafunzo.
Unaleta propaganda za kijinga ili kuaminisha joshua mollel alienda vitani..
Mtu mzima wa ovyo sana wewe
Wanajidhalilisha wao na dini Yao.
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....

ASANTE SANA MKUU..

KUMBE WANAENDA HUKO KUPIGANIA VITA YA TAIFA TEULE LA MUNGU,WAKIKAMATWA NA HAMAS WANALIA NA KUSAGA MENO,NI SUALA LA MUDA TUH KILA KITU KITAKUWA WAZI
 
Mayahudi wanawapeleka nyie chambo kwa njaa zenu, nenda na wewe ukawasaidie wajomba wa mungu wako.

Si unaona Bashe anawasaidia wayahudi wenzie.

NA WATAISHA SANA,KWANZA ISRAEL KUNA KILIMO GANI CHA KWENDA KUJIFUNZA KULE??

WANAPELEKWA KAMA CHAMBO NA NJAA ZAO,WAKIMWAGWA MAVI WANARUDI KULALAMIKA.
 
Jeshi moja kubadilishana mbinu za kimedani ni kawaida sana.

Tusilipake jeshi letu matope kwa sababu za kidini na kisiasa.

Hii pia ilikua miezi michache iliyopita.


hii nyingine ni jeshi la US &: Israel wakiwa mafunzoni.
20231220_093148.jpg

Katazame na post #107 uje useme na hao je?
 
Uwe jeshini Israel halafu useme wanateketea bila hatia?

Una akili kichwani au kwenye masaburi?

Wanaenda huko kwa gia ya kusoma kilimo kumbe wanaingia kama wanajeshi chambo wa TAIFA TEULE LA MUNGU,mwisho wake wakiwekwa angle wanalia na kusaga meno,wameamua kuchagua vita basi wakubaliane na matokeo.
 
We ushanganyikiwa , umekuwa mfia dini iliyoletwa na waarabu, mwafrika kuwa mfia dini ni suala la kutokujitambua , naona mleta Uzi akili zisharuka sababu ya dini.
 
We mjinga sana. Yani umetafuta sababu mfu ya kutokusikitika na kifo cha mtanzania mwenzio kisa uislamu koko. Dini yenu hakika ina mashaka sana. Huwezi kuwa na nafsi ya ajabu kwa raia mwenzio wa kitanzania kwa kudeflect hoja. Yani unataka kujustify kuwa yule kijana ni sawa alivokufa? Picha umeweka haimhusu, Yani nyie ni mapunguani kama alivyo muasisi wa ushetani wenu Mohammad.
 
Wale walienda kabla ya shambulio la kushtukiza. Mbona wanaopelekwa uarabuni uhausigel na uuguzi hamjasema wanaenda kwenye masuala ya jeshi. Picha zenyewe za kuchonga
Najiuliza ivi kwa Nini wanapeleka wanawake tu, wanataka waka wape dudu wanawake zetu , wangepeleka na wanaume na sisi tukawapige dudu wanawake zao, wanaoenda nazani hawajitambui , hapo Kuna suala la ubaguzi , hasa kwa swala la papuchi , wanapenda kuwala wa kwetu wa kwao hawataki waliwe.
 
Ni mpumbavu Tu ndo anaamini mtu ataenda Israel kujifunza kilimo'....

Na mtu mpumbavu zaidi ndo anaamini kuwa "the so called mwanafunzi " wa kilimo alikuwa attacked innocently.....

Watu wenye akili wanajua there is more to the story ....
Low IQ wazee wakusoma vichwa vya habari na kuanza kusambaza tu mambo bila kutumia ubongo ndio waliojaa hapa nchini mkuu.

Ni hatari sana hili kundi. Wao wanakula kila garbage wanayokuwa fed.
 
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.

Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba na Bashe.

Bashe anafahamu kwa kuwa yeye alituaminisha hao vijana wanakwenda kusomea kilimo. Cha kujiuliza vijana 260 wapelekwe Israel wakasomee kilimo badala ya kuja myahudi mmoja au wawili hapa wakawafundisha vijana kibao, na vyuo na vituo vya kilimo tunavyo?

Kuna siri hapo na Bashe pia anaijuwa.

Naamini kabisa, vijana hao hawakupelekwa kujifunza kulima pekee, wamepelekwa pia kujifundisha mambo ya kijeshi na kivita na au wengine watabaki israel kuendeleza kuuwa Wapalestina au wengine watakaorudi huku watakuwa ni "reserve" wa jeshi la Israel


Hili sasa hivi lipo wazi kabisa, ushahidi ni hii picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kina nani hawa?:

View attachment 2847132
Dhambi hii itawatafuna
 
Israel pigeni mabomu yote hayo mashetani ya Hamas.

Damu ya watanzania haitawaacha salama, wataishi kwenye mashimo kama panya mpaka wakome.

A good Palestiane is a dead one.
Pole sana myahudi mweusi

Yeyote anaeshirikiana na mazayuni kuwapiga Waislamu wenzetu, basi ni halali yake kuuawa
 
Israeli kwa sasa imekuja na mpango wa kuwapa vijana kazi za kwenye mashamba huko vitani. Malawi na Kenya wapo tayari kupeleka vijana tukae tusubiri kupokea maiti za vijana wa kiafrika waliouwawa na Hamas huko Gaza.
 
Falasha ni mpalestina na sio muisrael. So hiyo picha huyo sio falasha
Falash Mura is the name given to descendants of the Beta Israel community in Ethiopia who converted to Christianity, primarily as a consequence of Western proselytization during the late 19th and early 20th centuries. This term also includes Beta Israel who did not adhere to any Ethiopian Jewish practices, as well as the aforementioned historical converts to Christianity. While most voluntarily converted, some were also forcibly converted against their will, or felt compelled to convert due to economic hardship and social exclusion in a majority Christian population.
 
Mahusiano rasmi ya kijeshi Tanzania na Jordan
1703064000561.png

AMMAN — Chairman of the Joint Chiefs of Staff Maj. Gen. Yousef Huneiti on Wednesday met with Chief of Defence Forces of Tanzania People's Defence Forces Gen. Venance Salvatory Mabeyo, and an accompanying delegation over the latest developments in the regional and international arenas.

Talks also covered cooperation and coordination aspects in the field of joint military training, the exchange of expertise and military exercises, and ways to enhance bilateral relations to serve the interests of both countries' armed forces, the Jordan News Agency, Petra, reported.
1703064558086.png

Huneiti and the Tanzanian delegates listened to military briefings on the extent of development and modernisation of weapons, tasks and equipment in the Jordan Armed Forces-Arab Army in line with the nature of the region's developments at various levels.

The Tanzanian delegation also visited the King Abdullah II Special Operations Training Centre, as well as the command headquarters of King Abdullah II Special Forces Group and the Royal Jordanian Air Force.

1703064057552.png
 
Back
Top Bottom