David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Jeshi la wapi wewe mpumbavu? Hizo picha unazotaka kutuaminisha hao sio watanzania hao ni wafalasha wa Ethiopia.Haijalishi.
Tunataka kuelewa walipelekwa jeshini au kujifunza kilimo?
Mtu utoke SUA uende moja kwa moja katika jeshi la Israel!!!
Wanajeshi wana training zao na kila mwaka Tanzania inapeleka Wanajeshi wake nchi mbalimbali kwa ajili ya mafunzo.
Unaleta propaganda za kijinga ili kuaminisha joshua mollel alienda vitani..
Mtu mzima wa ovyo sana wewe