Makamba: Sisi tumeamua kuwa wakweli, bwawa la Nyerere linaisha Juni 2024. Adai tarehe ya mwanzo isingewezekana kwa namna yoyote

Huenda kuna ukweli maana treni ya umeme Dar-Moro tuliambiwa ingeanza kazi 2019, leo ni 2022 lkn ni story tu za mara mwisho wa mwezi huu mara mwezi ujao...

Vv
 
Hawa sisiemu ni mburula na waongo sana. Kila siku wanaleta tarehe mpya kama kwenye sgr.
 

Usiku na mchana wapi ww, aliahidi SGR hadi November 2019 kipande cha Dar-moro kitakuwa tayari, lakini hadi anaingia jehanamu hakuna kitu kama hicho. Jitu lilikuwa ongo lile kishenzi, na nyie vichwa maji mkawa mnaliamini.
 
Alafu kwa akili yako ya kinyumbu unajua hapo wamekomeshwa watoto wa Magufuli
Alafu= halafu.
nakumbusha tu kwamba hakuna uporaji wa KOROSHO tena huku kusini, wanajeshi wa JWTZ wanaendelea na shughuli zao za kawaida hawakagui mashamba yetu tena sawa.
humu nchini hakuna kutukanana tena kwa kujiita mwanaharakati sijui huru na ujinga na ushamba wa namna hiyo.
Hakuna kudukuana tena baina ya viongozi?
UDICTETA UCHWARA ULIANGUKA PUUUUUU hapo 17/3/2021
 
Kuna tofauti ya ufanyaji kazi. Miradi mingi ya Magufuli kazi zilifanyika usiku na mchana.
'Nakubaliana na usemi wa Makamba.
Tusisahau fiksi nyingi tulizolishwa Awamu ya Mwendazake'
 
Hilo tutalizindua 2025 wkt wa kampeni,tupate Cha kuombea kura jukwaani.

Nasema uongo ndg zanguuuuhhh
 
Nakubaliana na usemi wa Makamba.
Tusisahau fiksi nyingi tulizolishwa Awamu ya Mwendazake, ingawaze Mwendazake ata enziwa kwa kuanza ujenzi wa huu mradi.
Unajua wewe huwa akili yako awamu hii umeicha kwenye masaburi ya kina makamba,unatumia makamasi kufikiri na kuzungumza
 
W
Anaounga mkono hii kauli ni wasahaulifu...

Kwani awali Bjngeni alisema litaisha lini?

Pia hawa Clouds walipaswa kubalance kwa kutafuta kauli ya Kalemani kuhusu bwawa kuisha.

Pia anasema kuwa hawasikilizi ya Bungeni. Naamini hii kauli haijatoka bahayi mbaya bali Mungu ameshafarakanisha ndimi zao kuonesha dhamira zao.

Bunge halina maana kwa serikali ya CCM bali kapu la kuokotea mawaziri ru
 
Kwa hivyo kama hawalisikilizi Bunge ambalo ndiyo wawakilishi wa wananchi maana yake hakuna sababu ya kuwepo kwa Bunge??
Ukweli usemwe bila kumung'unya maneno Tanzania hakuna Bunge tangu October 2020, pale mjengoni kuna kusanyiko la wahalifu walioshiriki wizi wa kura kwa msaada wa mitutu na mabomu ya polisiccm.
 
Mnikumbushe yule aliyepinga kwa nguvu akisema sijui Mazingira, Ekolojia na Jia Jia zote zinaharibika hivyo mradi usitishwe mara moja!

Mtanikumbusha kuhusu Crane/Forklift isiyokuwepo hapa nchini ndio imechelewesha ujazwaji wa maji kwenye bwawa husika.

Matengenezo ya mitambo hayakuzingatiwa, maji hamna alisema nani hata leo tuambiwe tena kuwa tunazalisha 1700MW na tunachohitaji ni 1500MW tu?

Mramba alipoteuliwa kuwa Kamishna tu, alisemaje kuhusu hili bwawa?

Ile mikoa 14 itakayokosa umeme kwasababu ya kina cha maji kupungua hivyo kusababisha mabwawa kukaukiwa, maji yameshajaa?

Hizo 1700MW, ni Installed capacity au uzalishaji uliopo?

Juzi tu hapa wamezima vituo vya diesel huko Kigoma kwa kusema wamefikisha gridi kule, ule mzigo uliokuwa unabebwa na hivyo vituo vya mafuta, ulikuwa ni miongoni mwa hiyo 1500MW? Na hizo mashine za diesel, bado ni sehemu ya hiyo 1700MW?

Hivi, hii wizara ni ya umeme tu? Mbona huko kwingine hatusikii kukizungumziwa?
 
Hawa jamaa huwa wanaongea mambo ya ajabu huku wakiwa wamekaa kama vile wanaongea kitu cha maana sana. Sasa Makamba anataka kutuambia hata yeye asingekuwa Waziri hiyo "Power evacuation" isingesainiwa. Bwawa si linajengwa ili umeme usafirishwe??

Anaongea jambo la kawaida sana kwa "mabobish".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…