sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Mwanzoni alisema forklift ndio inachelewesha.Muda utakuwa hakimu, nina uhakika 2024 hatakosa neno la kujitetea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzoni alisema forklift ndio inachelewesha.Muda utakuwa hakimu, nina uhakika 2024 hatakosa neno la kujitetea
Huenda kuna ukweli maana treni ya umeme Dar-Moro tuliambiwa ingeanza kazi 2019, leo ni 2022 lkn ni story tu za mara mwisho wa mwezi huu mara mwezi ujao...Akiwa Clouds TV, waziri wa nishati January Makamba amesema bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere linaisha mwezi Juni mwaka 2024 na wameamua kwenda na uhalisia na hawaoni aibu kusema litaenda miaka miwili mbele kuliko tarehe iliyotarajiwa kwani kwa namna yoyote isingewezekana ile tarehe ilitangazwa awali.
Awali Makamba amesema bwawa limeanza kujengwa Disemba 2018 na mpaka 2021(awamu ya tano) lilikuwa limejengwa kwa asilimia 37 kwa miaka miwili na nusu lakini mwaka mmoja(Awamu ya sita) limefika asilimia 74.
Makamba amesema wameongeza usimamizi na wamebadilisha 'Project Management' na wametumia pesa zaidi kupitia Tanesco kuhakikisha unakamilika kwa viwango na ubora.
Makamba pia amesema wameweka vichwa vyao pale na watapoinua uwe umeisha hivyo mambo ya Bungeni wao hawayasikilizi bali wanasimamia mradi vizuri na hali ilipo ni nzuri.
Awamu iliyopita ilidhamiria kumaliza bwawa la Nyerere Juni mwaka huu wa 2022.
Kuhusu hali ya umeme nchini, Makamba amesema umeme unaozalishwa nchini ni megawatts 1700 na mahitaji ya juu ni megawatts 1500 hivyo nchi inajitosheleza.
Nani alisema? Makamba au pole pole? Aliye sema haya ni waziri husikaHata ndege na flyover mlisema haiwezekani lakini leo tunaziona
Kuna tofauti ya ufanyaji kazi. Miradi mingi ya Magufuli kazi zilifanyika usiku na mchana.
Nakumbuka ile SGR waziri Kamwele aliwahi kuvamia site usiku akakuta kazi inaendelea.
Sasa haya mambo January hawezi. Anataka kula bata tu huku akitembea na cheo cha uwaziri.
Alafu= halafu.Alafu kwa akili yako ya kinyumbu unajua hapo wamekomeshwa watoto wa Magufuli
SureNi sawa tu maana hata hao wabunge waliwekwa na dhalimu ili wamuhakikishie yeye kukaa madarakani zaidi miaka 10.
Bado atakuwa hapo wizarani?Muda utakuwa hakimu, nina uhakika 2024 hatakosa neno la kujitetea
'Nakubaliana na usemi wa Makamba.Kuna tofauti ya ufanyaji kazi. Miradi mingi ya Magufuli kazi zilifanyika usiku na mchana.
Unajua wewe huwa akili yako awamu hii umeicha kwenye masaburi ya kina makamba,unatumia makamasi kufikiri na kuzungumzaNakubaliana na usemi wa Makamba.
Tusisahau fiksi nyingi tulizolishwa Awamu ya Mwendazake, ingawaze Mwendazake ata enziwa kwa kuanza ujenzi wa huu mradi.
ExactlyWewe Mikamba kama unaniskia hutokuja kuwa Rais wa nchi hii, na pesa unazowaibia wadanganyika utakuja kuzitapika kupitia matundu yote.
Shida ya umeme tz siyo kiwango Bali miundombinu ya kuufikisha kwa walaji...ilitakiwa ulijue hili tangu siku nyingiNimesoma hapa nikaona ujinga mtupu, kama umeme unatosheleza kwanini kutwa umekatwa bila sababu?
Anaounga mkono hii kauli ni wasahaulifu...Akiwa Clouds TV, waziri wa nishati January Makamba amesema bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere linaisha mwezi Juni mwaka 2024 na wameamua kwenda na uhalisia na hawaoni aibu kusema litaenda miaka miwili mbele kuliko tarehe iliyotarajiwa kwani kwa namna yoyote isingewezekana ile tarehe ilitangazwa awali.
Awali Makamba amesema bwawa limeanza kujengwa Disemba 2018 na mpaka 2021(awamu ya tano) lilikuwa limejengwa kwa asilimia 37 kwa miaka miwili na nusu lakini mwaka mmoja(Awamu ya sita) limefika asilimia 74.
Makamba amesema wameongeza usimamizi na wamebadilisha 'Project Management' na wametumia pesa zaidi kupitia Tanesco kuhakikisha unakamilika kwa viwango na ubora.
Makamba pia amesema wameweka vichwa vyao pale na watapoinua uwe umeisha hivyo mambo ya Bungeni wao hawayasikilizi bali wanasimamia mradi vizuri na hali ilipo ni nzuri.
Awamu iliyopita ilidhamiria kumaliza bwawa la Nyerere Juni mwaka huu wa 2022.
Kuhusu hali ya umeme nchini, Makamba amesema umeme unaozalishwa nchini ni megawatts 1700 na mahitaji ya juu ni megawatts 1500 hivyo nchi inajitosheleza.
Ukweli usemwe bila kumung'unya maneno Tanzania hakuna Bunge tangu October 2020, pale mjengoni kuna kusanyiko la wahalifu walioshiriki wizi wa kura kwa msaada wa mitutu na mabomu ya polisiccm.Kwa hivyo kama hawalisikilizi Bunge ambalo ndiyo wawakilishi wa wananchi maana yake hakuna sababu ya kuwepo kwa Bunge??
Nje ya mada.Hata ndege na flyover mlisema haiwezekani lakini leo tunaziona