Wakuu Jana Prof Sospeter Muhongo amechangia Kwenye Bajeti ya Nishati na kutoa ushauri ufuatao: (1) Ukuaji wa uchumi wetu uendae na upatikanaji wa umeme mwingi na wa bei nafuu GDP/Capita: *US$ 3,000 na MW 10,000 -15,000 *US$ 1,500 na MW 5,000 (2) Tuwe na Vyanzo vingi vya uzalishaji wa umeme -...