Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu saidoo25, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, kiukweli kabisa hawa vijana 3, January, Mwigulu na Nape, wanamsaidia sana Samia!.
Kufuatia Magufulification style of working, viongozi wengi wamekuwa na nidhamu ya uoga hivyo walikuwa wanamdanganya JPM, hili la nidhamu ya uoga, nililizungumza Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!. ilifikia kiwango taasisi za umma zinakopa bank kupeleka gawio kwa JPM zionekane zinazalisha faida!.
Kufuatia uoga huu JPM akawa anaogopwa hadi kudanganywa!. January ni mmoja wa mawaziri vijana very bold, ataisema ukweli wa mambo ulivyo na sio kufurahisha watu, kuhusu mradi wa JNHPP, January amesema kila kitu
Enzi za JPM, focus ya mradi huu ilikuwa ni ujenzi tuu wa bwawa, enzi za Samia kupitia January focus sio bwawa tuu bali na miundo mbinu ya kuusambaza umeme huu, mafanikio isiwe kumaliza bwawa au kulijaza maji bali umeme uzalishwe utumike!. Hizo data za mwanzo ni zile January alizozikuta zikimdanganya JPM, sasa anatoa data za ukweli.
P
Hakuna lolote lile kutoka kwa uyo JanuaryMkuu saidoo25, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, kiukweli kabisa hawa vijana 3, January, Mwigulu na Nape, wanamsaidia sana Samia!.

Kwi."mfupa hauna ulimi" [emoji1787][emoji1787]
Ukweli wako Ni upi?Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu.
Sasa juzi Januari Makamba akamdanganya tena Mh Rais kwamba 2021 wakati anaingia mradi ulikuwa kwa asilimia 37, Mwigulu naye akihojiwa na Clouds naye akasema wakati Rais anaingia mradi ulikuwa asilimia 22.
Sasa kama Januari akiwa kwenye Umma anamdanganya kwa kiwango hiki Mh Rais swali je wanapokuwa kwenye vikao vya ndani kama Baraza la Mawaziri au vikao vya wao wawili anamdanganya mambo mangapi juu ya uendeshaji wa nchi yetu.
Pascal Mayalla mfuatilie na mkalitazame na hili.
Aliyesema Bungeni umefika 52% ni nani? Sio kipara?Mkuu saidoo25, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, kiukweli kabisa hawa vijana 3, January, Mwigulu na Nape, wanamsaidia sana Samia!.
Kufuatia Magufulification style of working, viongozi wengi wamekuwa na nidhamu ya uoga hivyo walikuwa wanamdanganya JPM, hili la nidhamu ya uoga, nililizungumza Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!. ilifikia kiwango taasisi za umma zinakopa bank kupeleka gawio kwa JPM zionekane zinazalisha faida!.
Kufuatia uoga huu JPM akawa anaogopwa hadi kudanganywa!. January ni mmoja wa mawaziri vijana very bold, ataisema ukweli wa mambo ulivyo na sio kufurahisha watu, kuhusu mradi wa JNHPP, January amesema kila kitu
Enzi za JPM, focus ya mradi huu ilikuwa ni ujenzi tuu wa bwawa, enzi za Samia kupitia January focus sio bwawa tuu bali na miundo mbinu ya kuusambaza umeme huu, mafanikio isiwe kumaliza bwawa au kulijaza maji bali umeme uzalishwe utumike!. Hizo data za mwanzo ni zile January alizozikuta zikimdanganya JPM, sasa anatoa data za ukweli.
P
Vitu vingine ni kama ganda la mua la jana, kwako hana lolote, kwa wegine he is everything!.Hakuna lolote lile kutoka kwa uyo January
Hiyo ilikuwa bajeti ya JPM!. Kiukweli kabisa this young fellow is very bold!, hebu msikilize hapa, Waziri mwingine gani wa Samia angeweza kutamka haya?.
P
KUNA MSEMO UNAOSEMA UKIWA MUONGO USIWE NA UGONJWA WA KUSAHAUKwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu.
Sasa juzi Januari Makamba akamdanganya tena Mh Rais kwamba 2021 wakati anaingia mradi ulikuwa kwa asilimia 37, Mwigulu naye akihojiwa na Clouds naye akasema wakati Rais anaingia mradi ulikuwa asilimia 22.
Sasa kama Januari akiwa kwenye Umma anamdanganya kwa kiwango hiki Mh Rais swali je wanapokuwa kwenye vikao vya ndani kama Baraza la Mawaziri au vikao vya wao wawili anamdanganya mambo mangapi juu ya uendeshaji wa nchi yetu.
Pascal Mayalla mfuatilie na mkalitazame na hili.
Ganda la Muwa ni ganda la muwa tu..iwe kwao au kwa mtu mwingine...Vitu vingine ni kama ganda la mua la jana, kwako hana lolote, kwa wegine he is everything!.
P
Hapo ndipo mdanganywa anavaa udanganyikaSasa kama Januari akiwa kwenye Umma anamdanganya kwa kiwango hiki Mh Rais swali je wanapokuwa kwenye vikao vya ndani kama Baraza la Mawaziri au vikao vya wao wawili anamdanganya mambo mangapi juu ya uendeshaji wa nchi yetu.
Kiiini Cha tatizo hili ni mfumoUmejishushia hadhi kwa namna fulani. Sipo kumsifu JPM au kukubali uongo na uoga kwa watendakazi wake lkn . Tukuukulize kama mwana habari nguli na mwanasheria.
1. Ipi tuianini alipokea bwawa likiwa 52% au 37% na pia je aliyesema 22% naye akiwa kiongozi nani mkweli?
2. Umesena JpM alikuwa na ujenzi tu wa Bwawa, je hii ni kweli? Kuwa usalishaji wa hizo megawat zaidi ya 2000 hazikuwa kwenye lengo na wala usambazaji wake. Je hayo maji wangejaza kwa ajili ya uogeleaji au kufugia samaki na kilimo?
Nchi imejaa kujipendekeza ili mtu apewe nafasi ya kula i.e hayupo yanayetumika kwa ajili ya nchi.
Kwani rais ni rahisi hivi kiasi cha kushindwa kutofautisha uongo na ukweli?Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu.
Sasa juzi Januari Makamba akamdanganya tena Mh Rais kwamba 2021 wakati anaingia mradi ulikuwa kwa asilimia 37, Mwigulu naye akihojiwa na Clouds naye akasema wakati Rais anaingia mradi ulikuwa asilimia 22.
Sasa kama Januari akiwa kwenye Umma anamdanganya kwa kiwango hiki Mh Rais swali je wanapokuwa kwenye vikao vya ndani kama Baraza la Mawaziri au vikao vya wao wawili anamdanganya mambo mangapi juu ya uendeshaji wa nchi yetu.
Pascal Mayalla mfuatilie na mkalitazame na hili.
Hapa si bure kuna namna .kuna msemo wa unasema tumikia kafiri ili upate umradi wako naona hicho ndicho ulichokifanya hapaMkuu saidoo25, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, kiukweli kabisa hawa vijana 3, January, Mwigulu na Nape, wanamsaidia sana Samia!.