Makambako inadaiwa ndo katikati ya mikoa ya nyanda za juu kUsini kijiografia

Makambako inadaiwa ndo katikati ya mikoa ya nyanda za juu kUsini kijiografia

Mk boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2020
Posts
3,024
Reaction score
2,047
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha uhalisia mfano makambako to iringa km 162 ,makambako to mbeya km 172 ,makambako songea km 293 ,makambako TUNDUMA songwe km 274 , pia ukija makambako sumbawanga Pana zaidi km 300 sawa na makambako tunduru kupitia jiografia hii ilimfanya mmoja wa viongoz kuja na wazo tu create greater makambako ambayo alilenga to create makambako metropolitan city Ina cover maeneo haya makambako to NYORORO km 50 ,makambako to igawa km 50 na makambako njombe mjini km 59 na hili wazo kwa Sasa limeanza kuonesha uhalisia wake makazi yameanza kuungana pia serikari imeamua baadhi ya huduma waanze kushare mfano Kuna mradi wa maji miji 28 hili eneo WAMEUNGANISHA pia ni eneo linalo kadiliwa kuwa na wakazi zaidi ya million moja na kutokana na jiografia ya tambarare linaenda kuwa na population kubwa zaidi vilevile Kuna wazo la viwanda na biashara hili nalo linaenda kuongeza Kasi ya ukuaji vile vile ujenzi wa TAZAM high way walizingatia wazo Hilo kwa kujenga stendi za dala dala za kutosha kutoka igawa hadi NYORORO nk hili eneo ni katikati kama ilivyo dodoma kwa nchi na mwanza kwa Kanda ya ziwa na kwa kutenganisha na miji mingine ilipandwa miti mfano Kuna Sao hill ,tanwat na hifadhi ya mpanga kipengere HII NDO MAKAMBAKO METROPOLITAN CITY ITAKAVOKUWA MAWAZO YANATIMIA Pia ni vizuri hata kujifunza kwa nchi jilani zetu HASA ukanda wa SADC MFANO UKIANGALIA FUTURE YA HII MAKAMBAKO METROPOLITAN AREA INAENDA KUFANANA NA LUSAKA METROPOLITAN AREA KULINGANA NA KUFANANA KIJIOGRAFIA
IMG-20240911-WA0030.jpg
IMG-20240911-WA0035.jpg
Map-Southern-Highlands.png.jpg
FB_IMG_16769576241954978.jpg
FB_IMG_16811889713114200.jpg
1713962142183.jpg
FB_IMG_16767644099419941.jpg
1709901587833.jpg
1702914137702.jpg
The-Southern-Agricultural-Growth-Corridor-of-Tanzania_Q320.jpg
downloadfile.jpg
MAKAMBAKO👇👇
WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1).jpeg
LUSAKA ZAMBIA👇👇
1711350929867.jpg
SD-map-hp~2.jpg
1730440517590.jpg
 
Salama Mkuu? Vipi kuhusu umbali wa mikoa ya Rukwa na Katavi, mpaka Makambako?
Katavi ule unaenda magharibi rukwa ni sawa na urefu wa kutoka tunduru ruvuma to makambako
 
MAKAMBAKO STEEL INDUSTRIAL PARK
IMG-20241013-WA0006.jpg
IMG-20241011-WA0009.jpg
 
Safii sanaa wana nyuloko...napakubali sana hapo kwa biashara pamenoga sanaaa...kila heri makambako .....panastahili ...njia panda safi kabisa ya kimkakati ....ingawa kuna baridi sana ambayo sio rafiki sana kwa wanaotoka kwenye joto....
..
 
Yote mema itapendeza zaidi upandaji miti ukaongezwa kupunguza upepo na vumbi
Eneo hili kwa Sasa wamepanda Sana miti uchumi maarufu kama parachichi pia ONGEZEKO la makazi na lami mtaan limechochea upepo kupungua na vumbi
 
Safii sanaa wana nyuloko...napakubali sana hapo kwa biashara pamenoga sanaaa...kila heri makambako .....panastahili ...njia panda safi kabisa ya kimkakati ....ingawa kuna baridi sana ambayo sio rafiki sana kwa wanaotoka kwenye joto....
..
Hili eneo Lina Kanda mbili Kuna ukanda wa joto na baridi ko hicho kitu walisha kiona
 
Watu wa mipango miji sasa wapange vizuri makazi. Nyumba mpya zinazojengwa ziwe kwa mstari ulionyooka, mtu asizidishe nyumba nje ya eneo litakaloamriwa. Mji utapendeza sana.

Angalia mfano wa nyumba hizi hapo Mtwara Mikindani. Ni za kawaida ila zimepangwa vizuri sana
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-16-06-54-00-966_com.google.android.apps.maps.jpg
    Screenshot_2024-10-16-06-54-00-966_com.google.android.apps.maps.jpg
    380.5 KB · Views: 7
Vipi kuhusu mipango miji maana moja ya changamoto ni ujenzi holela
 
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha uhalisia mfano makambako to iringa km 162 ,makambako to mbeya km 172 ,makambako songea km 293 ,makambako TUNDUMA songwe km 274 , pia ukija makambako sumbawanga Pana zaidi km 300 sawa na makambako tunduru kupitia jiografia hii ilimfanya mmoja wa viongoz kuja na wazo tu create greater makambako ambayo alilenga to create makambako metropolitan city Ina cover maeneo haya makambako to NYORORO km 50 ,makambako to igawa km 50 na makambako njombe mjini km 59 na hili wazo kwa Sasa limeanza kuonesha uhalisia wake makazi yameanza kuungana pia serikari imeamua baadhi ya huduma waanze kushare mfano Kuna mradi wa maji miji 28 hili eneo WAMEUNGANISHA pia ni eneo linalo kadiliwa kuwa na wakazi zaidi ya million moja na kutokana na jiografia ya tambarare linaenda kuwa na population kubwa zaidi vilevile Kuna wazo la viwanda na biashara hili nalo linaenda kuongeza Kasi ya ukuaji vile vile ujenzi wa TAZAM high way walizingatia wazo Hilo kwa kujenga stendi za dala dala za kutosha kutoka igawa hadi NYORORO nk hili eneo ni katikati kama ilivyo dodoma kwa nchi na mwanza kwa Kanda ya ziwa na kwa kutenganisha na miji mingine ilipandwa miti mfano Kuna Sao hill ,tanwat na hifadhi ya mpanga kipengere HII NDO MAKAMBAKO METROPOLITAN CITY ITAKAVOKUWA MAWAZO YANATIMIAView attachment 3096046View attachment 3096047View attachment 3096048View attachment 3096063View attachment 3096065View attachment 3096051View attachment 3096050View attachment 3096053View attachment 3096054nzuri
 
Uwanja bei gani nataka nije ninunue plot ya kujenga kama unacho niunganishe
 
Uwanja bei gani nataka nije ninunue plot ya kujenga kama unacho niunganishe
Ni nzuri zaidi ukipitia halmashauri ndo unapata plot nzuri fika kitengo Cha ardhi watakuonesha viwanja vizuri
 
Back
Top Bottom