Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha uhalisia mfano makambako to iringa km 162 ,makambako to mbeya km 172 ,makambako songea km 293 ,makambako TUNDUMA songwe km 274 , pia ukija makambako sumbawanga Pana zaidi km 300 sawa na makambako tunduru kupitia jiografia hii ilimfanya mmoja wa viongoz kuja na wazo tu create greater makambako ambayo alilenga to create makambako metropolitan city Ina cover maeneo haya makambako to NYORORO km 50 ,makambako to igawa km 50 na makambako njombe mjini km 59 na hili wazo kwa Sasa limeanza kuonesha uhalisia wake makazi yameanza kuungana pia serikari imeamua baadhi ya huduma waanze kushare mfano Kuna mradi wa maji miji 28 hili eneo WAMEUNGANISHA pia ni eneo linalo kadiliwa kuwa na wakazi zaidi ya million moja na kutokana na jiografia ya tambarare linaenda kuwa na population kubwa zaidi vilevile Kuna wazo la viwanda na biashara hili nalo linaenda kuongeza Kasi ya ukuaji vile vile ujenzi wa TAZAM high way walizingatia wazo Hilo kwa kujenga stendi za dala dala za kutosha kutoka igawa hadi NYORORO nk hili eneo ni katikati kama ilivyo dodoma kwa nchi na mwanza kwa Kanda ya ziwa na kwa kutenganisha na miji mingine ilipandwa miti mfano Kuna Sao hill ,tanwat na hifadhi ya mpanga kipengere HII NDO MAKAMBAKO METROPOLITAN CITY ITAKAVOKUWA MAWAZO YANATIMIA Pia ni vizuri hata kujifunza kwa nchi jilani zetu HASA ukanda wa SADC MFANO UKIANGALIA FUTURE YA HII MAKAMBAKO METROPOLITAN AREA INAENDA KUFANANA NA LUSAKA METROPOLITAN AREA KULINGANA NA KUFANANA KIJIOGRAFIA
MAKAMBAKO👇👇
LUSAKA ZAMBIA👇👇