Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃 sijui aina gani ya ushauri nikaombe..Nashindwa kuelewa jamii itake ushauri gani kwa makamishna wastaafu, wakati wananchi walikuwa wanatendewa sivyo na wao wakiwa kazini wameshindwa kuliona hilo. Sasa wataishauri vipi jamii?
Wakiwa kwenye magari ya washawasha waliiona jamii kama siyo sehemu yao. Wapambane na hali zao!!Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Kaombe ushauri huu "Ukitaka kununua kituo kidogo cha polisi ili ukigeuze bar kwa vile kina kaunta nzuri unaanzaje!"[emoji2][emoji2][emoji2] sijui aina gani ya ushauri nikaombe..
Wao na utalii wapi na wapi hawa jamaaa..
😃😃😃😃😃😃😃Kaombe ushauri huu "Ukitaka kununua kituo kidogo cha polisi ili ukigeuze bar kwa vile kina kaunta nzuri unaanzaje!"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Dah!...Hao wazee watulie vijijini ushauri gani wanataka tukawaombe? Wao wale pension kama zimeisha wakomae na vijiji vyao walime,
Njaa imewafika pabayaNashindwa kuelewa jamii itake ushauri gani kwa makamishna wastaafu, wakati wananchi walikuwa wanatendewa sivyo na wao wakiwa kazini wameshindwa kuliona hilo. Sasa wataishauri vipi jamii?
Kuliko ya hao waliokuwa wanaumiza watu walipokuwa kwenye vyeo?Aiseee watu mna roho mbaya sana!
Hata viongozi wa dini siwezi, nakumbuka Mbeya waliwahi kugoma kujenga kituo cha polisi kwa kuogopa kitakapokamilika watapigwa.Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
walifanya nini cha maana mpaka jamii iwatumie?Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Maprofesa uchwaraHivi ma professor wastaafu wa vyuo vikuu wapo? Ni vizuri wakajitokeza tuwasikie nao.
Wangewashauri hao waliowaachia vyeo wanaoua na kubaka raia kipindi cha uchaguzi! wangewashauri akina siro kuacha kuwa Police wa CCM badala yake wawe polisi wa jamii nzima!Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali iwatumie katika kuutangaza utalii wa nchi yetu.
Umoja wa makamishna wastaafu wa jeshi la polisi ulitembelea familia ya hayati Moringe Sokoine na kuzuru kaburi lake.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Waendelee kunywa beer pale mesi, kama ni kazi basi wakawafundishe wenzao polisi...Naona wakuu mmeamua kuikataa offer ya ushauri toka kwa ''wapendwa'' makamishna wastaafu bila kupepesa macho.
Nasikia Kova ana team ya uwokowaaji kwenye Majanga, ndiyo anayoiongoza kwa Sasa!!Atakuwa kashaanza kuchakaa huko kati