GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo.
Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa Kubwa na linalojengwa na huyu Tajiri Muha aitwae Muyama jirani na Kambi ya Lugalo Kawe ( sehemu iitwayo ) kwa Masai halina Vibali ( Tangazo ) kuwa anayejenga ni nani na anajenga nini hapo?
Na kwanini Uongozi wa JWTZ kuna Mzee Mmoja Mstaafu anaishi Kawe jirani na Chuo cha Tiba alitaka Kujenga Jengo la Ghorofa Nne ( 4 ) tu akazuiwa, ila huyu Muyama Muha anayejenga Mita chache tu kutoka Ukuta wa Lugalo Yeye ameruhusiwa?
Najua Makamu wa Rais Kiutamaduni Wewe ni Mtani wangu ukiwa Muha wa Kigoma na MImi Mzanaki wa Mara lakini katika hili naomba tuweke Utani Wetu pembeni na unipe majibu ya Kutosha kwani mpaka unaona leo GENTAMYCINE nimekuja na Uzi huu ( Taarifa hii ) jua nina Information za kutosha tu za kuhusu huyu Muyama na Wewe ila kwa sasa nakusikilizia.
Haya Watu wa TISS, CMI na Wasaidizi wa Rais Samia naombeni mkae tayari kwa Mrejesho wa huu Uzi lakini pia tayari GENTAMYCINE nimeshawarahisishia sehemu ya Kuanzia kwani kuna Kubwa linaloendelea hapa ambalo linaweza hata Kumchafua Makamu wa Rais wa sasa.
Muyama baadae nitakatishia hapo!!!