Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
AiseeNa huyo atakuwa ni President GENTAMYCINE tu Mkuu. Na 99% ya Watendaji wangu watakuwa ni JamiiForums Members hivyo kuanzia Leo muanze kuwa na Adabu na jueni kuwa mpo na Rais Mtarajiwa ambaye nitakuwa ni zaidi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli Kimaamuzi, Kiutendaji, Kiukali.
Na kuna uwezekano mkubwa wale watakaokuwa wanaenda Kinyume nami wakawa ama wanachezea Nakozi zangu au nawawamba mno Makofi. Na nitaongoza kwa miaka yangu Mitano tu ila Tanzania itaifikia Marekani, China, Uingereza na Israel kwa Maendeleo. Kikubwa niombeeni tu Uhai mrefu na nipunguze pia Kupenda Mbunye na Kuchuja Madini ya Kibaikolojia kwa Mabeibe.