Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

Na huyo atakuwa ni President GENTAMYCINE tu Mkuu. Na 99% ya Watendaji wangu watakuwa ni JamiiForums Members hivyo kuanzia Leo muanze kuwa na Adabu na jueni kuwa mpo na Rais Mtarajiwa ambaye nitakuwa ni zaidi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli Kimaamuzi, Kiutendaji, Kiukali.

Na kuna uwezekano mkubwa wale watakaokuwa wanaenda Kinyume nami wakawa ama wanachezea Nakozi zangu au nawawamba mno Makofi. Na nitaongoza kwa miaka yangu Mitano tu ila Tanzania itaifikia Marekani, China, Uingereza na Israel kwa Maendeleo. Kikubwa niombeeni tu Uhai mrefu na nipunguze pia Kupenda Mbunye na Kuchuja Madini ya Kibaikolojia kwa Mabeibe.
Aisee
 
Huyo mwingine wakati negotiations zinafanyika ikasemekana kwamba he is the future so awe released.

Kaanza hapo ila atakua anapanda mdogo mdogo.

Lakini mshumaa utazimwa.
Kuliko hawa ( hao ) wawe Marais bora basi hata ya Paul Makonda japo nae ana Mapungufu yake ila hana Unafiki na Mpambanaji.
 
Na huyo atakuwa ni President GENTAMYCINE tu Mkuu. Na 99% ya Watendaji wangu watakuwa ni JamiiForums Members hivyo kuanzia Leo muanze kuwa na Adabu na jueni kuwa mpo na Rais Mtarajiwa ambaye nitakuwa ni zaidi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli Kimaamuzi, Kiutendaji, Kiukali.

Na kuna uwezekano mkubwa wale watakaokuwa wanaenda Kinyume nami wakawa ama wanachezea Nakozi zangu au nawawamba mno Makofi. Na nitaongoza kwa miaka yangu Mitano tu ila Tanzania itaifikia Marekani, China, Uingereza na Israel kwa Maendeleo. Kikubwa niombeeni tu Uhai mrefu na nipunguze pia Kupenda Mbunye na Kuchuja Madini ya Kibaikolojia kwa Mabeibe.
GENTAMYCINE Tumia akili yoga odds ZENU ni sure Sana😂😂😂😂😂
 
kuja na Mada zangu Kuu Mbili juu ya Kupinga ule Ujenzi, ila nikaona Former CDF alikuwa ameshakuwa 'Fixed' na Kabariki huo Upuuzi hapo
Mkuu nakuomba sana uje na mada ya kuvunjwa zile frem... Wachangiaji tupo... Sehemu pekee DSM mabayo mandhari nzuri imebaki ilikuwa ni Lugalo lakini leo unakutana na uchafu wa aina ile....Niaibu aibu aibu.....Kwanza usalama wa Kambi ile lazima uwe mashakani,...

Tunaomba CDF mpya JJ Mkunda aingilie kati ujenzi ule mara moja... zilefrem zivunjwe zote... Na pia nasikia wamefanya lobby ili stand irudi ndio maana mafrem yale wameyajenga haraka haraka..
 
Sawa Muyama nimekupata. Ila yule Demu uliyeondoka nae Jana Kaathirika na 'Dally Kimoko Guitar' vipi Ulikumbuka lakini Kujifunika na Mwamvuli mlipokuwa mkifanya nae Mazoezi ya Kibaikolojia?

au nawe uliamua 'Kujilipua' mazima kama nifanyavyo Mimi na kwamba liwolo na liwe?

Leo mida ya Saa 9 hivi Alasiri au Saa 10 Jioni nitapita hapo Kawe 'Kwa Masai' unapojenga nikienda Maua kuna Goma huko nataka 'nikalichujie' Madini ya Kibaikolojia kama nawe ulivyomchujia' yule Demu wako wa Jana.

Watani zangu Waha mna tabu mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
 
Je kuna haja au umuhimu wa kambi za jeshi kuendelea kuwepo mijini, maana wamehodhi mapori makubwa sana. Kuanzia mbagala, gongolamboto, kigamboni, lugalo, makongo, upanga, kawe, nk ambayo si tija kwao wala kwa taifa, kwa maana kulikuwa ni mapori enzi kambi hizo zikianzishwa ni wakati sahihi ziwekwe nje ya mji, Ili kupisha miradi ya kiserikali mfano masoko, nyumba za watumishi, stand, nk.
Ni wazo tu.
 
Mkuu nakuomba sana uje na mada ya kuvunjwa zile frem... Wachangiaji tupo... Sehemu pekee DSM mabayo mandhari nzuri imebaki ilikuwa ni Lugalo lakini leo unakutana na uchafu wa aina ile....Niaibu aibu aibu.....Kwanza usalama wa Kambi ile lazima uwe mashakani,...

Tunaomba CDF mpya JJ Mkunda aingilie kati ujenzi ule mara moja... zilefrem zivunjwe zote... Na pia nasikia wamefanya lobby ili stand irudi ndio maana mafrem yale wameyajenga haraka haraka..
Uzi wangu huo upo hapa JamiiForums utafute uone 'Logical Factors' zangu juu ya Kupinga Ujenzi wa zile 'Fremu' kisha one Uzi ulichangamkiwa na 'Comments' za Watu, ila kwa Masikitiko former CDF General Mabeyo akawa 'Fixed' na Watu 'Corrupt and Opportunists' ndani ya Mfumo ( System ) na JWTZ akaridhia kitendo ambacho Kilinisikitisha mno Mkuu.
 
Je kuna haja au umuhimu wa kambi za jeshi kuendelea kuwepo mijini, maana wamehodhi mapori makubwa sana. Kuanzia mbagala, gongolamboto, kigamboni, lugalo, makongo, upanga, kawe, nk ambayo si tija kwao wala kwa taifa, kwa maana kulikuwa ni mapori enzi kambi hizo zikianzishwa ni wakati sahihi ziwekwe nje ya mji, Ili kupisha miradi ya kiserikali mfano masoko, nyumba za watumishi, stand, nk.
Ni wazo tu.
Niliwahi Kuzungumza na General Mmoja ( sasa ni Mstaafu na alikuwa CDF pia ) akasema kwa Kifupi sana Kwangu Mjukuu wake wa Kizanaki GENTAMYCINE ( Kisungura ) kuwa Kambi zenye Heshima na ambazo kwa namna yoyote ile hazipaswi Kuchezewa ila zinatakiwa Kuheshimika kutoka na kuwa very Strategical na Historical kwa Ukombozi wa Afrika ni za Lugalo Dar es Salaam na ile ya Nachingwea Mkoani Lindi.

Mengine aliyoniambia ni SIRI yangu.
 
Ni kweli mkuu Jakaya nilikua nae , JPM pia ila sasa kuna mambo bado moyo wangu haujapata amani.

Samia Mungu alinionesha kuhusu yeye ila , kuna mambo bado sina amani nayo.
Mkuu kumbe Wewe ni Mganga na Muonaji? Hongera sana na natumai hata Rais wetu ajaye Umeshaonyeshwa kuwa atakuwa ni Mr. Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE ) au?
 
Yale yale ya kumruhusu yule mama wa makanisa na shule nyingi nyingi kujenga sinagogi kule baharini wakingojea aende Mbinguni ili wabomoe.

Usiwaamini wana siasa
 
Ambaye Mwanae wa Kiume Diwani 'Cow Way' alifichwa 'Kibaiolojia' na Bi. Ashura huko Tabata au?
 
Niliwahi Kuzungumza na General Mmoja ( sasa ni Mstaafu na alikuwa CDF pia ) akasema kwa Kifupi sana Kwangu Mjukuu wake wa Kizanaki GENTAMYCINE ( Kisungura ) kuwa Kambi zenye Heshima na ambazo kwa namna yoyote ile hazipaswi Kuchezewa ila zinatakiwa Kuheshimika kutoka na kuwa very Strategical na Historical kwa Ukombozi wa Afrika ni za Lugalo Dar es Salaam na ile ya Nachingwea Mkoani Lindi.

Mengine aliyoniambia ni SIRI yangu.

Historia inatusaidia nn kizazi cha SAsa chenye uhitaji.
 
Hapana mkuu,

Bado kuna ukungu mzito.

Mimi sio Mganga ila nimebarikiwa maono.

Mungu kanipa kipaji cha kuona na kushauri.

Nachoona na kushauri huwa ni 100% correct.

Ni karama tu. Nothing special.
Kwahiyo umeona nini cha Kimaono Kwangu Mimi Mkuu? Usijali hata kama ni kibaya Wewe kiseme tu na kama pia kipo kizuri tiririka na serereka nacho tu sawa?
 
Back
Top Bottom