Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

Halafu watazirudisha .yaani unaweza kuta baada ya situ tatu bando limeisha
 
Kuna ulazima gani wao kutoa hizo gb?

Yaani ni sawa na mie nafanya biashara ya kuuza maji nyumbani kwangu, siku dawasco wakate maji na kusababisha ukosefu wa maji mtaa mzima, halafu siku yakirudi niseme nitawafidia ndoo moja moja mtaa mzima kutokana na shida iliyojitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…