HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
kkoo mtaa LIKOMA na MASASI duka linaitwa KAALE COMPUTER linatazamana na KANISA LA KKKT
unaweza kuikuta 7bu nishawaizikuta MINTOWER zake za i5 hapo kama miez 2 au 3 iliopita
sijajua 7bu used bei zke hazielewekagi we nenda utajua hapo hapoOk, mkuu nitaibukia bei sh ngapi, me nilinunua 500000 last time.
Nmeipenda hii
Asante kwa post nzuri
Jamaa uko vizuri sana. Naomba uandae tutorial ya jinsi ya kufly planes kwa FS maana nimekukubali.TANZANIA SIM AVIATION
Jamaa uko vizuri sana. Naomba uandae tutorial ya jinsi ya kufly planes kwa FS maana nimekukubali.
Mkuu hili game sijawahi kulicheza lkn leo itabidi nidownloadahxanteni wakuu
Mkuu hii avatar yako hatarimkuu American truck simulator ntaipataje??
Thanks mkuu niko naishusha tutorial niitazame kwa pc. Nimecheka tu hapo mwanzo ulipoanza kucheka[emoji23]FSX SE DEHAVILAND BEAVER TUTORIAL
Thanks mkuu niko naishusha tutorial niitazame kwa pc. Nimecheka tu hapo mwanzo ulipoanza kucheka[emoji23]
Hii game naweza kucheza kwa kutumia usb pad?!
Inazo mkuu jana nmedownload version 1. 22. 0. 3Ndiyo ila hakikisha pad inakuwa ina analog sticks.