HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Inazo mkuu jana nmedownload version 1. 22. 0. 3
Kumbe you guys are cheating. Me always natumia keyboard. And am doing great. Ningekua na hayo madude yenu ningekua far sana..[emoji23]Ok vizuri, ukiwa nazo zile game inakuwa simple to control. Hata mimi baada ya kuibiwa ile joystick kubwa kama gia ya gari. Natumia joy pad. Ila baadae itabidi ninunue joystick. Joystick ni 150000.
Kumbe you guys are cheating. Me always natumia keyboard. And am doing great. Ningekua na hayo madude yenu ningekua far sana..[emoji23]
Kumbe you guys are cheating. Me always natumia keyboard. And am doing great. Ningekua na hayo madude yenu ningekua far sana..[emoji23]
Hivi hakuna namna ingine ya kufanya service mpka niite assistance???? Kuna muda unaenda sheli na unakuta kuna service bay but huwezi fanya service. How's that possible?Ukitaka ufaidi vizuri tafuta game pad sh 15000 tu ila hakikisha ina analog stick. Kama unataka ucheze vizuri EURO TRUCK SIMULATOR 2 au FSX vizuri tumia gamepad au joystick, FSX- tumia flight sim yoke na Euro tumia Steering wheel kama ni serious gamer.
Steering unasett kule mwanzo kbs kama unataka left au rightHivi hakuna namna ingine ya kufanya service mpka niite assistance???? Kuna muda unaenda sheli na unakuta kuna service bay but huwezi fanya service. How's that possible?
Kingine ninaweza badili steering bila kukatwa hela? Now naendesha Volvo sema ni left hand side na mm nataka liwe right hand side
Volvo FH global trotter 750HP v/s Scania Topline 720HP Ipi bora kushinda nyingine
Una uhakika chief, Scania ilashanizimikia mara kibao katikati ya mlima na mzigo wa tani 24, inashindwa kuendelea hasa ikiwa unaendesha manual, sio kama Volvo maeneo hayohayo!Ah hapo scania top line mkuu.
Euro bus? sijawahi kukutana na game la jina ilo kwenye website za games ka vile steam n.k, ila najua kuna Omnibus na mods za bus zinazoingizwa kwenye ETS2Game euro bus unawezajee kulipataa mkuu??
Una uhakika chief, Scania ilashanizimikia mara kibao katikati ya mlima na mzigo wa tani 24, inashindwa kuendelea hasa ikiwa unaendesha manual, sio kama Volvo maeneo hayohayo!
Nimeweka mods za buses na ramani lakini hata sijui nafanyaje ili kuzitumia[emoji23] [emoji23]Euro bus? sijawahi kukutana na game la jina ilo kwenye website za games ka vile steam n.k, ila najua kuna Omnibus na mods za bus zinazoingizwa kwenye ETS2
Hio itakua ilikua na malfunctions maana scania always ni bad news.Una uhakika chief, Scania ilashanizimikia mara kibao katikati ya mlima na mzigo wa tani 24, inashindwa kuendelea hasa ikiwa unaendesha manual, sio kama Volvo maeneo hayohayo!
Najaribu volvo nw ila wamenipa left hand...scania nliona kutoka london mpk armstedam linaharibika sanHio itakua ilikua na malfunctions maana scania always ni bad news.
mkuu volvo ndio mambo yote, engine torque na acceleration ni baraa, mlio wa engine tu unamaanisha nini una offer zaidi ya scaniaNajaribu volvo nw ila wamenipa left hand...scania nliona kutoka london mpk armstedam linaharibika san
unatumia version gan ya game maana mods zingine uwa sio compartible na version fulaniNimeweka mods za buses na ramani lakini hata sijui nafanyaje ili kuzitumia[emoji23] [emoji23]
Help plz.
Ijaribu volvo mkuu, ndio yenye ingine kubwa kuliko gari zote kwenye game, ina 750HP ikifuatiwa na scania yenye 720HP na labda renault ndo wenye gari mbaya kuliko zote kwenye game pia.Hio itakua ilikua na malfunctions maana scania always ni bad news.