Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Najaribu volvo nw ila wamenipa left hand...scania nliona kutoka london mpk armstedam linaharibika san
Linaharbika bila kulifanyia demage ?? Anyway mi napenda volvo, eveco na benz yani gari safi sana
 
Naendesha scania streamline high ipo bomba kinoma napiga mpk spidi 110
 
Nimedownload hii game ila changamoto ni kwamba nikiburn kwenye cd haionekani wakati cd inaonyesha kuna kitu nimeburn..nakosea wapi?
 
Pc yangu leo imeanza kuzingua game inakuwa inastuck napotaka Kumove halaf ni game zote
 
Pc yangu leo imeanza kuzingua game inakuwa inastuck napotaka Kumove halaf ni game zote
ukiwa unacheza game hasa kwenye PC hakikisha unakua na feni ndogo ya kupozea kwa chini ya laptop, joto jingi kwenye graphic card husababisha kustuck na wakati mwingine kuunguza VGA card
 
ukiwa unacheza game hasa kwenye PC hakikisha unakua na feni ndogo ya kupozea kwa chini ya laptop, joto jingi kwenye graphic card husababisha kustuck na wakati mwingine kuunguza VGA card
Ngoja niizime ipoe nione
 
ukiwa unacheza game hasa kwenye PC hakikisha unakua na feni ndogo ya kupozea kwa chini ya laptop, joto jingi kwenye graphic card husababisha kustuck na wakati mwingine kuunguza VGA card
Nimeona kuna kuna diect x na redistribute c+++ 2005 zimejiinstal leo asbh
 
Mi nshawambia watu humu scania ni cha mtoto kwa Volvo, spidi uwa napiga mpaka 146 na sukumbuki ka uwa ina komea apo maana ka hakuna kikwazo inazidi kuchochea2
Mkuu nipo level za mwanzo kabisa na kuna miscania nataka kuinunua lkn imefungwa hadi nifike 24 level ndio nitaiweza kuinunua,hizo nadhani ndio naweza kugonga speed 200,scania ndio mfalme wa road bro 😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…